Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

Sinaga starehe.

Labda starehe yangu ni Kumtumikia Mungu.

Hao wamepatwa na Ajali kwa kuendekeza upumbavu utoke mbeya hadi Dar kisa Mpira hapana kwakweli.
Starehe nyingine ni ujinga.

Zaidi ya km 822 na mwendo wa saa 15 kisa Mpira wa akina Fredy..
Kupitia post hii shakujua .. endelea na upumbavu wako!
 
Awali ya yote nitangulize pole kwa waliopata ajali, Mungu awawekee wepesi wapone haraka na kwa familia zilizowapoteza watu wao kipenzi, Mungu awalaze mahala pema.
Humu pamekuwa ni sehemu ya uzushi, uvumi, uongo na mtu analeta uzi wa namna hiyo huwa anaachiwa uzi wake wa namna hizo usomeke.

Hii ajali ingetokea upande wa Yanga nyuzi zingeongozana hapa kwa ID tofauti tofauti na kila mmoja angelihusisha na jambo la matokeo ya timu na kujifanya wanajua ya ndani kabisa.
 
Kweli kabisa
Robo fc wanaamini sana ushirikina ila kilichotokea naamini ni uchovu kwa dreva huenda hakuwa na uvumilivu wa safari ndio maana kapata ajali akiwa mwisho kabisa wa safari akili ikiwa imeanza kuchoka
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
HATUKUSIKII. Hata hapo ulipo tu hilo jengo linaweza kuporomoka.
HATA HIVYO UWAUSIE TU USISHABIKIE TIMU INA MASHABIKI NUSU WEHU. HAWANA BRAKE KICHWANI
 
Awali ya yote nitangulize pole kwa waliopata ajali, Mungu awawekee wepesi wapone haraka na kwa familia zilizowapoteza watu wao kipenzi, Mungu awalaze mahala pema.
Humu pamekuwa ni sehemu ya uzushi, uvumi, uongo na mtu analeta uzi wa namna hiyo huwa anaachiwa uzi wake wa namna hizo usomeke.

Hii ajali ingetokea upande wa Yanga nyuzi zingeongozana hapa kwa ID tofauti tofauti na kila mmoja angelihusisha na jambo la matokeo ya timu na kujifanya wanajua ya ndani kabisa.
Wewe ndiye unayeleta hizo hisia, kwa nini siku zote unakuwa na mtazamo hasi? Hili swala watu wote wameonyesha masikitiko lakini wewe unataka kukaribisha mjadala utakaoleta malumbano.Mods tendeni haki futeni huu uzi.
 
Wana akili ndogo kama mafanikio yao kwenye michuano ya kimataifa....

Nawazungumzia simba
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
🤔
 
FB_IMG_1711693726984.jpg
 
Wewe ndiye unayeleta hizo hisia, kwa nini siku zote unakuwa na mtazamo hasi? Hili swala watu wote wameonyesha masikitiko lakini wewe unataka kukaribisha mjadala utakaoleta malumbano.Mods tendeni haki futeni huu uzi.
Anavyoleta uzi Genta za kuichafua Yanga mnatulia kimya. Nyuzi zenu zilifika mbali hadi kwa Ally Kamwe dhidi ya mtoto wake. Kuna uzi mkaandika kuwa kwanini Yanga wakicheza lazima mtu afiwe au afe hizo nyuzi hazileti malumbano? Hii ajali ingetokea kwa Yanga mada za kafara zingekuwa nyingi hilo halina ubishi.
 
Pole hata bila picha ungetafuta uhakika wa habari huenda ni abiria tu ila wamevaa jersey za Simba #wapone haraka#
Drivers wajitahidi kuwa makini wote tushakubaliana njia zetu si nzuri umakini lazima uongezeke
Naona kipande cha Ruvu Vigwaza kinataka damu za watu sikukuuu hizi.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Moderator ,Paw huyu jamaa muondoeni hili jukwaa tafadhali maana ana tatizo la afya ya akili.
 
Back
Top Bottom