Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Dogo anakuambia surah 4:11-12 , ili kuwadanganya wasiojua .wakati huo hiyo surah imeonesha conditions tofauti ,😀😀..Jamaa mzushi sana, atakimbia huu uzi wake .
Kadanganywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,huwa wanadanganyqna sana huko
 
Swali zuri:
Wanazuoni wameboresha baada ya kuona makosa kwenye hesabu za Quran. Ndio maana ukifuatilia madhehebu makubwa mawili Sunni na Shia kila mmoja ana namna yake ya kugawa urithi hawako sawa.
Hakuna makosa ,ila mgao uko tofauti anavyojua,kwanza anapewa Mama sehemu yake,halafu ikiyobakia ndio wanagaiwa sehemu zilizobqki kwa kugawanywa tena.
 
Hapo ndipo shida ilipo. Ili kuficha upungufu wa Quran
Nani kasema watoto wa kike wagawane sawa mabaki?
Quran unataka wapate kila mtu 1/3 ya mali ya marehemu.
Shida iko kwako kwa kutoelewa.Haya mafungu anaaanza kugaiwa Mama kwanza.Kinachobaki ndio hugawanywa tena kwa wengine.
 
Hii ndio elimu ya mirathi ya kiislamu,halafu pia katika uislamu,waliohudhuria kwenye mirathi,ambao warithi kama mashahidi,nao wanapewa chochote.
 
Ww kiande hujawah kuwa muislamu hilo jinà la hamis wanyakyusa kibao makafiri wanatumia sisi tuliobahatika kukaa shule Kwa miaka mingi huwez kutudanganya kwastyle hii
Hamisi,ni jina la mtu aliyezaliwa siku ya Al hamisi,aliyesaliwa Jumsnne anaitwa Jumanne,akizaluwq jumapili,anaitwa Pili mwansmke,jumatatu anaitwa tatu,ijumaa qnaitwa jumaa,na jumamosi anaitwa Juma bila kujali dini yake,ana dini su hana.
 
Hii ndio elimu ya mirathi ya kiislamu,halafu pia katika uislamu,waliohudhuria kwenye mirathi,ambao warithi kama mashahidi,nao wanapewa chochote.
Hiyo ni kwa mujibu wa wanazuoni.
Ila Quran haiko hivyo
 
Hakuna makosa ,ila mgao uko tofauti anavyojua,kwanza anapewa Mama sehemu yake,halafu ikiyobakia ndio wanagaiwa sehemu zilizobqki kwa kugawanywa tena.
Vyovyote utakavyogawa ukitumia Quran mgao unazidi.
Hata ukianza kumpa mama, ukaanza kumpa baba, ukaanza na mke, ukaanza na watoto lazima izidi
 
Kuwa na akili usifananidhe watu wa mashariki ya kati,wanaokula nyama na maziwa na watoto wa kiafrika wanaokula ugali na chumbi.Mama Yesu,alimzaa Yesu ana miaka 13 na aliolewa na Yoseph mwenye miaka 90,fundi seremala.Sasa fikiria Mariya alichukuwa mimba ya Yesu,akiwa na miaka mingapi
 
Vyovyote utakavyogawa ukitumia Quran mgao unazidi.
Hata ukianza kumpa mama, ukaanza kumpa baba, ukaanza na mke, ukaanza na watoto lazima izidi
Hakuna kinachozidi.Mgao uko kwa kuanzia mama,na pia haitokei kama hivyo,mara nyingi,anakufa mtu,anaacha mzazi mmoja tu,na zaidi ni Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…