Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Mzee mbona umewaza mbali sana? 😀😀😀😀😀😀😀 Umeona nini?
 
Jamani nimekuja mbiooo! Arghh! Nikajua tmr hakuna kwenda kadhini😎
 
Nimeuliza swali,na nadhani katiba inatambua mazingira kama haya!
Nimekupa angalizo tu! Uamuzi ni juu yako. Kupanga ni kuchagua....ila muda mwingine unaweza kupanga lakini wengine ndio wakakuchagulia hatma yako.
 
Nimekupa angalizo tu! Uamuzi ni juu yako. Kupanga ni kuchagua....ila muda mwingine unaweza kupanga lakini wengine ndio wakakuchagulia hatma yako.
Ok sawa ila sidhani kuuliza swali kama hilo ni kosa kisheria!
 
Katiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
Mkuu, kwa kuuliza tu hili swali kwa sheria za hapa kwetu unaweza ukashataki wallah....tehteehh
 
Mama Samia atachukua nchi hadi uchaguzi ufanyike na marehemu atazikwa kitaifa kwa mahudhurio makubwa kama Mwl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…