Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Makamo wa Rais anaapishwa na kushika nafasi hadi uchaguzi mkuu ambapo candidates watawekwa upya kupitia chama
 
Nimekupa angalizo tu! Uamuzi ni juu yako. Kupanga ni kuchagua....ila muda mwingine unaweza kupanga lakini wengine ndio wakakuchagulia hatma yako.
Acha kutishia watu bna kwani hili swali lina tatizo gani mtu kutaka kufaham katiba ya nchi yake imekuwa tatizo??
Aisee huu ni utumwa wa kifikra aisee
 
Huu uzi ni mzuri kuusoma kwa thermometer. Ajabu sana yani.

Mada za kwenye uraia zifutwe kama vipi, na hivyo vipengele kwenye katiba viondolewe.
Ni kweli ili tusiwe tunajadili???
 
Wewe huoni lengo la muuliza swali limetafsiriwa tofauti na baadhi wakamuonya
Wakuonywa ni mleta uzi au hao waliotafsiri kwa kukidhi matakwa na fikra zao? Huu uzi ni Kama somo tu.

Japo najua mleta uzi atakuwa anafahamu maana kasoma uraia primary na civics secondary. Nae anapima tu mihemko na watu wakajaa kweli!
 
Nimezungumzia wakamuonya na nipo neutral hapo
 
Refer kilichotokea Malawi baada ya Rais Mutharika kufariki Mkuu na baadaye tukamuona mwana mama Joyce Banda
 
Jitafakari. Usitafute kiki za kina Sosopi mitandaoni. Mwisho wa siku utasumbua watu kutafuta wadhamini wa kukuwekea dhamana Mahakamani.
Kama katiba imeongea jambo kama hilo, walimlenga nani? Kama wao walioandika katiba waliliwaza, vipi mwingine asiwaze na asiulize iwapo hajui katiba inasemaje.

Acha kufanya watu wawe waoga wa kujifunza.
 
Jamani tumuombee maana sipati picha kwa yatakayotokea
 
Back
Top Bottom