Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Aisee!Kwani unayo habari ya awali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!Kwani unayo habari ya awali?
Acha kutishia watu bna kwani hili swali lina tatizo gani mtu kutaka kufaham katiba ya nchi yake imekuwa tatizo??Nimekupa angalizo tu! Uamuzi ni juu yako. Kupanga ni kuchagua....ila muda mwingine unaweza kupanga lakini wengine ndio wakakuchagulia hatma yako.
Ni kweli ili tusiwe tunajadili???Huu uzi ni mzuri kuusoma kwa thermometer. Ajabu sana yani.
Mada za kwenye uraia zifutwe kama vipi, na hivyo vipengele kwenye katiba viondolewe.
Na Kwanini tusijadili?? Mbona joto ni Kali Sana round hii?Ni kweli ili tusiwe tunajadili???
Kwa kipindi gani?
Tafadhali mkuu, mimi sijaspecify kuwa Rais huyu! Sasa kwanini useme mpaka 2020? Ni vema ungesema mpaka uchaguzi ufikeVP anachukua nchi mpaka next election, yaani 2020.
Wewe huoni lengo la muuliza swali limetafsiriwa tofauti na baadhi wakamuonyaNa Kwanini tusijadili?? Mbona joto ni Kali Sana round hii?
Wakuonywa ni mleta uzi au hao waliotafsiri kwa kukidhi matakwa na fikra zao? Huu uzi ni Kama somo tu.Wewe huoni lengo la muuliza swali limetafsiriwa tofauti na baadhi wakamuonya
Nimezungumzia wakamuonya na nipo neutral hapoWakuonywa ni mleta uzi au hao waliotafsiri kwa kukidhi matakwa na fikra zao? Huu uzi ni Kama somo tu.
Japo najua mleta uzi atakuwa anafahamu maana kasoma uraia primary na civics secondary. Nae anapima tu mihemko na watu wakajaa kweli!
AnazikwaKatiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
Yes, ndio nauliza kwa mtazamo wako Wakuonywa ni nani?Nimezungumzia wakamuonya na nipo neutral hapo
Mkeka mgumu huu, ni kama madrid anacheza na ndanda fc halafu unajilipua kumpa ndandaRaia mmeshaanza kuandaa mikeka eeh😀😀😀😀🙆🙆🙆
Kama katiba imeongea jambo kama hilo, walimlenga nani? Kama wao walioandika katiba waliliwaza, vipi mwingine asiwaze na asiulize iwapo hajui katiba inasemaje.Jitafakari. Usitafute kiki za kina Sosopi mitandaoni. Mwisho wa siku utasumbua watu kutafuta wadhamini wa kukuwekea dhamana Mahakamani.
Kama hufahamu unaacha, siyo vitisho, nimekukubali mzee baba.Jikite kwenye swali lake hiyo mikwara kamchimbe mkeo
Siku 90Kwa kipindi gani?