Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 959
Rais mteule atachagua makamu wake ambaye atathibitishwa na bunge!Kama makamu ataishika nafasi je nafasi ya makamu inashikwa na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais mteule atachagua makamu wake ambaye atathibitishwa na bunge!Kama makamu ataishika nafasi je nafasi ya makamu inashikwa na nani
[emoji23][emoji23]Anaenda kuzikwa
Kiutaratibu mkuu wa majeshi hushikilia kitu kwa muda hadi tume ya uchaguzi itakapoamua au mpaka miaka ambayo ilikuwa ndio mwisho wake kura zipigwe tena..Katiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
Ki protokal wewe ndo kuna kitu umefikiria hapoMkuu umefikiria nini mpaka kujiuliza swali kama hilo...
Kwani unayo habari ya awali?
Kwa kipindi gani?
Majibu napata tofauti, wengine wanasema PM ndio anashika nchi! Unaweza kutuwekea kifungu cha katibaKiutaratibu mkuu wa majeshi hushikilia kitu kwa muda hadi tume ya uchaguzi itakapoamua au mpaka miaka ambayo ilikuwa ndo mwisho wake kura zipigwe tena..
Asante, nahisi uko sahihi japo sijapata kifungu husikaKwa kadiri ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) ; Rais anapofariki, basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais.
Makamu anapoapishwa kuwa Rais, atashauriana na chama chake na kisha atamteua mtu mmoja ndani ya chama kuwa makamu wa Rais, ambaye atapaswa kuthibitishwa na bunge.
Mmh mkuu mbona kama unawashtuaEeeeh mjomba mjomba
Utasukumwa ndani ....kwa swali hili
Salalee!
Labda ndoto ndo inaelekeaMkuu umefikiria nini mpaka kujiuliza swali kama hilo...
May be he wishesMzee mbona umewaza mbali sana? 😀😀😀😀😀😀😀 Umeona nini?
Duuu Pussy kwao ni kitu cha kawaida tu tena maneno hayo kutamkwa na Rais ,sipati picha maneno hayo yakitamkwa kwa kiswahili na Jiwe letu aka kichaa .Rais Donald Trump ukimtukana anakuanzishia uzi maalum twitter kwaajili yako. Alivyo mshankunaku huyu kiumbe, utafurahi na roho yako[emoji18] View attachment 884966View attachment 884967View attachment 884969View attachment 884970
Mkuu mimi nafikiria yeye atakuwa kapatwa na maswahiba gani mpaka kufikilia hivyo ila siku zote mtu hupenda, anayemchukia apotee ili akae kwa amani.Ki protokal wewe ndo kuna kitu umefikiria hapo
Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 37 (5); inasomwa pamoja na ibara ya 40.Asante,nahisi uko sahihi japo sijapata kifungu husika
Nchi nzima siku hio hatutalalaDuuu Pussy kwao ni kitu cha kawaida tu tena maneno hayo kutamkwa na Rais ,sipati picha maneno hayo yakitamkwa kwa kiswahili na Jiwe letu aka kichaa .