Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
Hapo kuna mama vice anaomba kimyoyo myoyo rais apitilize!!! Maana katiba hiyo inampa chance,ila mungu yupo mzee wetu atapona soon!.
 
Mnh!!!!! Tunapita tu:

Uzi wa 2010 ..lakin wa moto .balaa kama wa leo!!

[emoji120][emoji849]
 
Rais wetu anamtegemea Mungu hawezi kufa
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
 
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya Wabunge wote.
 
Tayari. Wanafanya utaratibu wa kutangaza. Zamani alipofariki Mwl Nyerere sisi wa mpakani tukipata taarifa kupitia radio Malawi MBC ikitangaza kwa lugha ya kitumbuka kuwa "the former president of Tanzania Mwl Nyerere alowa" ku St Thomas hospital England
Tayari kitu gani na utaratibu unaofanywa wa kutangaza nini ?
 
Back
Top Bottom