Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni


Genta kumbuka kuna kusoma lakini pasipo Elimu! Hivyo heri kuchukua hatua mapema!
 
Naona humo ndani njaa watu zinawauma.!
 
Ni kweli kabisa, tatizo ni moja tu! anaminya demokrasia.. akirekebisha hapo atakuwa raisi wa kuigwa kuwahi kutokea barani Afrika. ViVA JPM
 
hahahaha yaani kasahau kabudi kasha toa mwongozi wa hayo kajikuta anarudia tu.

Mwaka wa 3 anaimba watumishi hewa na ajatoa ajira, anazungumzia ufisadi hatuoni kesi mahakamani

jamaa ana boa sana
 
Haters lazima wawepo, kuna binadamu hatuna jema hata serikali ifanyaje lazima tupinge na kuchukia, sasa sijui tunachukia ili nchi iendelee kuwa masikini au vipi, lakini pia criticism ni muhimu kwa ustawi wa nchi, sio vizuri kusifia tu bila kuonyesha changamoto zinazotukabili.
 

Jamani hivi 'kwenu' ni negatives tu hakuna positives???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…