Ukiyakubali hayo, baadaye utasema kuwa nchi hiyo pia imetoa Rais kwenda kuwa Rais wa Taifa jingine.Mbona unazungumzia masuala ya nchi isiyokuhusu? Zanzibar ni nchi yenye katiba yake na sheria zake.
Nyerer kaanza kupigia Kelele 1958 kwmy Uchaguzi wa kura tatu Tabora wakati huo Jakaya ana miaka minane tu, 1995 Kent hotuba yake Nyerere bado anapigia kelele Udini …halafu unakuja kusema Uongo JK ndio Muasisi wa udini? au hujui maana ya neno uasisi unalitaja taja kwa kuwa umezoea kulisikia sikia na kulisoma soma ?Falsafa ya wapi,yeye mwenyewe ndiyo muhasisi wa udini, Uchaguzi Mkuu 2010 kampeni zake zilipigwa misikitini na makanisani achilia mbali miadhara ya Kiislamu ya kuwananga Wakristo na yeye akiwa kimya.
Maana yake ni kuitenga dini na siasa mawazo,yako ni kuwa mwenye siasa asiwe na dini na mwenye dini asiwe na siasa,hapo utakuwa unaunda kitu kipya,ukifanikiwa utuainishie na majina yake mapya🤸🤸🤸🤸Huwezi kuwazuia Watu Kuchanganya Dini na Siasa iwapo hakuna sheria inayokataza jambo hilo
Labda upelekwe Muswada bungeni ikatungwe Sheria ya kuzuia Binadamu wa Tanzania wasichanganye Dini na Siasa
Nawasilisha 😄
Kwanza tuambia nani alidraft mkata huu mbovu acha vibweko.Huwezi kuwazuia Watu Kuchanganya Dini na Siasa iwapo hakuna sheria inayokataza jambo hilo
Labda upelekwe Muswada bungeni ikatungwe Sheria ya kuzuia Binadamu wa Tanzania wasichanganye Dini na Siasa
Nawasilisha 😄
TPAKwanza tuambia nani alidraft mkata huu mbovu acha vibweko.
Chagua jibu
Zanzibar siyo Lesotho, zanzibar ni sehemu ya Tanzania kikatiba usiipambe.Mbona unazungumzia masuala ya nchi isiyokuhusu? Zanzibar ni nchi yenye katiba yake na sheria zake.
Unajua Tanzania ni muunganiko wa nchi ngapi?Zanzibar siyo Lesotho, zanzibar ni sehemu ya Tanzania kikatiba usiipambe.
Binadamu mwenyewe yupo pande zote, kwenye dini na siasa. Leo Paroko anaadhimisha misa parokiani kwake na waamini wake, kesho Paroko huyo huyo na waamini wale wale, wanatakiwa wakahudhurie mkutano wa siasa wa chama chake halafu baada ya hapo wakapige kura kumchagua kiongozi wa chama cha siasa (mwenyekiti wa chama, mbunge, rais etc), na huyo huyo akamchague mwenyekiti wake wa jumuiya, parokia etc..!! The same kwa mashehe na viongozi wengine wa dini.Huwezi kuwazuia Watu Kuchanganya Dini na Siasa iwapo hakuna sheria inayokataza jambo hilo
Labda upelekwe Muswada bungeni ikatungwe Sheria ya kuzuia Binadamu wa Tanzania wasichanganye Dini na Siasa
Nawasilisha 😄
Ni Tanganyika ipi ilikuwa na udini wala ukabila! Toka kabla ya uhuru shule za misheni(Katoliki) wakati huo zilichukua watoto wote bila kujali dini zao wala kulazimisha kuingia kanisa lao.Nyerer kaanza kupigia Kelele 1958 kwmy Uchaguzi wa kura tatu Tabora wakati huo Jakaya ana miaka minane tu, 1995 Kent hotuba yake Nyerere bado anapigia kelele Udini …halafu unakuja kusema Uongo JK ndio Muasisi wa udini? au hujui maana ya neno uasisi unalitaja taja kwa kuwa umezoea kulisikia sikia na kulisoma soma ?
Mkiwa Waongo muwe na akili basi…unakuaje Muongo halafu Tabulalasa?
Tanzania na Zimbabwe(sic), ukiunganisha vitu viwili unapata kitu kimoja.Unajua Tanzania ni muunganiko wa nchi ngapi?
Kumbe wewe ni hopeless kabisaTanzania na Zimbabwe(sic), ukiunganisha vitu viwili unapata kitu kimoja.
Mbona mnajitoa ufahamu kuhusu zanzibar?Ukiyakubali hayo, baadaye utasema kuwa nchi hiyo pia imetoa Rais kwenda kuwa Rais wa Taifa jingine.
Asante baba mtumishi. Tuoombee nchi yetu amani na utulivu.Huu uzalendo ulio nao kwa Taifa hili kwa kusema ukweli Mungu wa Mbinguni na akubariki. Na kuomba tembea na Neno hili la
kwenye Biblia Takatifu, Yeremia 30:16.
Hii ya mwaka wa kiislamu tu? Vipi waliokuja na sikukuu ya mwaka mpya wa Kikristo kuwa siku ya mapumziko? Na vipi kuhusu siku ya kupeana zawadi ya mwezi wa kikristo (26 Disembal) kuwa siku ya mapumziko? Haya hayakuwa ni kuchanganya dini na siasa? Jee uliwahi kuyasemea?Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?