Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafumbo yake tumeyachoka yeye ndio aliutudanganya hela za escrow sasa inabidi tulipe tumechoka na unafiki wake"Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini kwa manufa yao ya kisiasa, nawaombeni ndugu zangu tuwanyanyapae.
"Siku ikifika ambapo uwanachama wa chama cha siasa au uumini thabiti wa dini ukawianishwa na chama cha siasa kinachofuata ndio mwisho wa nchi yetu, mtakuwa na vyama vya siasa vya wakristu, waislamu, walokole nk. Kuwafanya Watanzania kuyatazama masuala ya kisiasa, kiserikali, utawala kwa mtazamo wa dini zetu ni jambo hatari, halkadhalika watu kuyatazama masuala ya dini kwa mtazamo wa siasa za vyama vyao si jambo lenye afya kwa taifa letu.
"Yote mawili yataathiri umoja na kutishia amani, usalama na utulivu tunaoufaidi hivi sasa. Mfano Zanzibar walifika mahali waisilamu wanamuona shehe ambaye ni mfuasi wa chama ambacho sio chake sio shehe sawa sawa, kwahiyo wakienda kusali kama shehe ni msuasi wa CUF wanangoja amalize kusalisha, halafu anaingia shehe wa waislamu na wafuasi wake.
"Nawaambia vitu halisi na ndio maana nilipokuwa Rais nilishughulika sana pale na kupata muafaka, niliahidi kwenye hotuba yangu ya kwanza ya Bunge 2005 Dec 30, kwamba nitafanya kila ninaloweza tujenge muafaka Zanzibar, haukuwa rahisi. Mkutano ule tuliufanyia Butiama NEC, ilikuwa moja ya kikao kigumu kwelikweli, lakini nikasema pamoja na ugumu wote lazima hapa tuvuke. Tukafika mahali nilipoona mambo yamekuwa makali, nikasema twendeni kwanza tukale, tulipokuwa tunakula ndio tukawa tunaweka mikakati ya namna gani tunalimaliza hili jambo. Tukajipanga nani ataanza kuzungumza, tukakubaliana kwamba tutakwenda Zanzibar kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, na ndio imetusaidia Zanzibar tuna mazingira ya utulivu mpaka sasa, tungekwenda na utaratibu ule ule wa zamani tusingefika.
"…Tukianza kuchanganya dini na siasa tukageuza mimbari za dini na madhabahu kuwa sehemu ya kuhubiri kwishilia mbali nchi yetu. Lakini baba wa taifa ametuasa juu ya hatari ya kuchanganya dini na siasa. Nawasihi Watanzania wenzangu kuitunza tunu hii kama mboni ya jicho letu. Tukatae kuwasikiliza viongozi wa dini na waumini wao wanaofanya vitendo wa aina hii iwe kwa siri au kwa Dhahiri, vitendo hivi vinaweza kutupeleka kubaya."
Kikwete ameyasema hayo leo 20/8/2023 katika ufunguzi wa jengo Kanisa la Kiadventisti Wasabato Mara.
Hawezi vuruga kwani ukweli umemuumbua asubutu aone tutakavyo mpa ukweliAliandaliwa avuruge tamko la TEC
Waislamu wenzake akina shehe Mwaipopo ndio wanachanganya dini na siasa. Mbona hajawahi kuwakemea?"Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini kwa manufa yao ya kisiasa, nawaombeni ndugu zangu tuwanyanyapae.
"Siku ikifika ambapo uwanachama wa chama cha siasa au uumini thabiti wa dini ukawianishwa na chama cha siasa kinachofuata ndio mwisho wa nchi yetu, mtakuwa na vyama vya siasa vya wakristu, waislamu, walokole nk. Kuwafanya Watanzania kuyatazama masuala ya kisiasa, kiserikali, utawala kwa mtazamo wa dini zetu ni jambo hatari, halkadhalika watu kuyatazama masuala ya dini kwa mtazamo wa siasa za vyama vyao si jambo lenye afya kwa taifa letu.
"Yote mawili yataathiri umoja na kutishia amani, usalama na utulivu tunaoufaidi hivi sasa. Mfano Zanzibar walifika mahali waisilamu wanamuona shehe ambaye ni mfuasi wa chama ambacho sio chake sio shehe sawa sawa, kwahiyo wakienda kusali kama shehe ni msuasi wa CUF wanangoja amalize kusalisha, halafu anaingia shehe wa waislamu na wafuasi wake.
"Nawaambia vitu halisi na ndio maana nilipokuwa Rais nilishughulika sana pale na kupata muafaka, niliahidi kwenye hotuba yangu ya kwanza ya Bunge 2005 Dec 30, kwamba nitafanya kila ninaloweza tujenge muafaka Zanzibar, haukuwa rahisi. Mkutano ule tuliufanyia Butiama NEC, ilikuwa moja ya kikao kigumu kwelikweli, lakini nikasema pamoja na ugumu wote lazima hapa tuvuke. Tukafika mahali nilipoona mambo yamekuwa makali, nikasema twendeni kwanza tukale, tulipokuwa tunakula ndio tukawa tunaweka mikakati ya namna gani tunalimaliza hili jambo. Tukajipanga nani ataanza kuzungumza, tukakubaliana kwamba tutakwenda Zanzibar kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, na ndio imetusaidia Zanzibar tuna mazingira ya utulivu mpaka sasa, tungekwenda na utaratibu ule ule wa zamani tusingefika.
"…Tukianza kuchanganya dini na siasa tukageuza mimbari za dini na madhabahu kuwa sehemu ya kuhubiri kwishilia mbali nchi yetu. Lakini baba wa taifa ametuasa juu ya hatari ya kuchanganya dini na siasa. Nawasihi Watanzania wenzangu kuitunza tunu hii kama mboni ya jicho letu. Tukatae kuwasikiliza viongozi wa dini na waumini wao wanaofanya vitendo wa aina hii iwe kwa siri au kwa Dhahiri, vitendo hivi vinaweza kutupeleka kubaya."
Kikwete ameyasema hayo leo 20/8/2023 katika ufunguzi wa jengo Kanisa la Kiadventisti Wasabato Mara.
Na ndio dini inavyosema ndugu wa muislam ni muislamshida inakuja, wanasiasa wanasema tusichanganye siasa na dini ili kutunyamazisha wao wapate uchochoro wa kupiga pesa, ndio maana ni matajiri kweli kweli. wanawanyamazisha, ukijaribu kuongea wanasema unaleta udini na wao wanapitia uchochoro huohuo. TEC wamekuja mazima kutetea maslahi ya Taifa baada ya kuona upande mwingine umesherehekea kwasababu mwarabu ndio anakuja kuwekeza hivyo hata kama mwarabu atatunyonya haina shida kwasababu ni mwenzao. ndugu wa mwislam ni mwislam hata kama anafanya makosa.
Tutamzomea yeye hivi karibuni asituletee uhanithiRais mstaafu mzee Kikwete amefungua Kanisa la Waadventista Wasabato Rorya mkoani Mara
Mzee Kikwete amemshukuru askofu kwa kumualika japokuwa yeye ni Muislamu na Hii inadhihirisha Tanzania haina Dini
Kikwete amesema Watanzania ni Wamoja hawabaguani kwa Dini wala madhehebu yao Kwani Mungu wetu ni moja ila tunamuabudu kwa njia tofauti
Mzee Kikwete amesisitiza tusichanganye Dini na Siasa na wale wanaochanganya tuwanyanyapae
Source: Global tv
Mbona sukuma gang hakukemea?Kuna watu wamo humo walianza kutugawa kikanda huku wakisema chadema ni ya wachaga.
Alipokufa Magufuli wakaanza kuwaita wafuasi wake sukuma gang.
Ulipokuja mkatata na waarab hawakujibu hoja ila wakaja na utetezi kuwa watu wanakataa mkataba huo kwa sababu ni waislam.
Sasa TEC wametoa hoja zao tayari mgogoro ndio rasmi umekuwa wa kidini.
Ninachojua iwapo viongozi watakosa busara,ipo hatari kubwa sana inalikabili taifa.
Mungu tu anaweza kuamua kesi hii
Nasikia ndege imekamatwa Dubai je ni kweli??Hakika, Mama Abduli ni chambo tu
[emoji23]Nasikia ndege imekamatwa Dubai je ni kweli??
Kikwete hana lolote analoweza kuongea tukamuelewa, amani anayozungumza ni hii inayompa nafasi yeye na familia yake kukaa kwenye mlo, tena kwa njia zisizofaa. Yeye amefaidi kwa muda mrefu kukaa madarakani kwa kufanya fitina za kisiasa, na kete ya Udini ilikua nguzo yake muhimu huko nyuma. Afahamu kuwa hili suala la bandari sio siasa, ni yeye na wajinga wenzake ndio wanataka kutetea mkataba huu kwa kete ya udini. Angekuwa ni muumini wa amani, angekishauri chama chake kuheshimu chaguzi za nchi hii."Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini kwa manufa yao ya kisiasa, nawaombeni ndugu zangu tuwanyanyapae.
"Siku ikifika ambapo uwanachama wa chama cha siasa au uumini thabiti wa dini ukawianishwa na chama cha siasa kinachofuata ndio mwisho wa nchi yetu, mtakuwa na vyama vya siasa vya wakristu, waislamu, walokole nk. Kuwafanya Watanzania kuyatazama masuala ya kisiasa, kiserikali, utawala kwa mtazamo wa dini zetu ni jambo hatari, halkadhalika watu kuyatazama masuala ya dini kwa mtazamo wa siasa za vyama vyao si jambo lenye afya kwa taifa letu.
"Yote mawili yataathiri umoja na kutishia amani, usalama na utulivu tunaoufaidi hivi sasa. Mfano Zanzibar walifika mahali waisilamu wanamuona shehe ambaye ni mfuasi wa chama ambacho sio chake sio shehe sawa sawa, kwahiyo wakienda kusali kama shehe ni msuasi wa CUF wanangoja amalize kusalisha, halafu anaingia shehe wa waislamu na wafuasi wake.
"Nawaambia vitu halisi na ndio maana nilipokuwa Rais nilishughulika sana pale na kupata muafaka, niliahidi kwenye hotuba yangu ya kwanza ya Bunge 2005 Dec 30, kwamba nitafanya kila ninaloweza tujenge muafaka Zanzibar, haukuwa rahisi. Mkutano ule tuliufanyia Butiama NEC, ilikuwa moja ya kikao kigumu kwelikweli, lakini nikasema pamoja na ugumu wote lazima hapa tuvuke. Tukafika mahali nilipoona mambo yamekuwa makali, nikasema twendeni kwanza tukale, tulipokuwa tunakula ndio tukawa tunaweka mikakati ya namna gani tunalimaliza hili jambo. Tukajipanga nani ataanza kuzungumza, tukakubaliana kwamba tutakwenda Zanzibar kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, na ndio imetusaidia Zanzibar tuna mazingira ya utulivu mpaka sasa, tungekwenda na utaratibu ule ule wa zamani tusingefika.
"…Tukianza kuchanganya dini na siasa tukageuza mimbari za dini na madhabahu kuwa sehemu ya kuhubiri kwishilia mbali nchi yetu. Lakini baba wa taifa ametuasa juu ya hatari ya kuchanganya dini na siasa. Nawasihi Watanzania wenzangu kuitunza tunu hii kama mboni ya jicho letu. Tukatae kuwasikiliza viongozi wa dini na waumini wao wanaofanya vitendo wa aina hii iwe kwa siri au kwa Dhahiri, vitendo hivi vinaweza kutupeleka kubaya."
Kikwete ameyasema hayo leo 20/8/2023 katika ufunguzi wa jengo Kanisa la Kiadventisti Wasabato Mara.
Mama dully kazi anayoTena huyu jamaa asiongee kabisa, maana ni mnafiki kweli.
Ameibia nchi vya kutosha mfano IPTL hana sifa ya kuwa kiongozi ni kibaka tu kama vibaka wengineKikwete ni hopeless hana uwezo wa kudeal na mambo mazito
Mahali salama unapotakiwa kuwa ni kwenye bann tuNzuri sana hiyo, JK ametimiza wajibu wake km rais mstaafu. Alishatuasa akiwa rais kuwa vita vya kidini havina mshindi. Mbona wakati wa Magufuli mashehe hawakuwa na usumbufu? Nimewadharau maaskofu wa kanisa katoliki, ni watu hatari kwa ustawi wa binadamu, ni wabinafsi, wabaguzi, wachochezi wa chuki, wanagawa wananchi. Yesu alipoulizwa na mitume wake kwamba ni amri ipi kuu kuliko zote, Yesu aliwajibu ni UPENDO. Hawa maaskofu ni wafuasi wa Yesu yupi? Hapana wanapandikiza chuki mbaya sana tena sana, sahivi watu wa madhehebu mengine wataanza kuwachukia wakatoliki. Nimesikitika sana hawa watu si salama.