Vita ya kidini itatoka wapi? Serikali imeingia makubaliano hasi kwa upande wa Tanganyika kuhusu bandari zote .
 
Mwamba magu(alale pema peponi) pamoja na mapungufu alijali sana rasilimali zetu na aliwahi kusema hiviii;
Ni kichaa pekee anaweza kukubali mkataba wa bandari ya bagamoyo na wachina alioupambania huyu anayeongea hapa kamamtu mwenye busaaara!!
Tena tuliambiwa nchi yetu ilifanywa shamba la bibi tukaibiwa mmmno rasilimali zetu na mkuu wanchi ndiyo huyu anayeongea hapa!!! Na ushahidi uko wazi
Hii nchi tuna very poorly low IQ na EQ mmmno yaani eti bado watu wasomi Tena wacha-Mungu wanaweza kumualika na kukaa kusikiliza mawaidha ya huyuu!!! SHAME!
 
Mafumbo yake tumeyachoka yeye ndio aliutudanganya hela za escrow sasa inabidi tulipe tumechoka na unafiki wake
 
Alichoongea ni kweli , ila ingekua bora Zaid angejikita kwenye hoja zilizotolewa na TEC. Other wise na yeye analeta Siasa kwenye dini.
 
Waislamu wenzake akina shehe Mwaipopo ndio wanachanganya dini na siasa. Mbona hajawahi kuwakemea?
 
Na ndio dini inavyosema ndugu wa muislam ni muislam
 
Tutamzomea yeye hivi karibuni asituletee uhanithi
 

Mbona hakuna wa kuwatetea Wanyama wetu wanaomalizwa na mifupa kupitishwa hapo hapo Dar Airport.
 
Mbona sukuma gang hakukemea?
 
Ungekuwa Waraka wa Anaupiga Mwingi angesema haya....,

Awamu hii na ile imekuwa ikijikinga kwenye mgongo wa viongozi wa Imani..., Ingawa binafsi najua madhara ya kuchanganya haya mambo lakini hawa watu wangekuwa wasikivu au watu wanaoshirikisha wananchi na sio kuwaburudha huenda tusingefika huku....
 
Kikwete hana lolote analoweza kuongea tukamuelewa, amani anayozungumza ni hii inayompa nafasi yeye na familia yake kukaa kwenye mlo, tena kwa njia zisizofaa. Yeye amefaidi kwa muda mrefu kukaa madarakani kwa kufanya fitina za kisiasa, na kete ya Udini ilikua nguzo yake muhimu huko nyuma. Afahamu kuwa hili suala la bandari sio siasa, ni yeye na wajinga wenzake ndio wanataka kutetea mkataba huu kwa kete ya udini. Angekuwa ni muumini wa amani, angekishauri chama chake kuheshimu chaguzi za nchi hii.
 
Mahali salama unapotakiwa kuwa ni kwenye bann tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…