Muongezee na hili kwa nini waislamu wengi wanajitoa muhanga kwa kusema wanafia dini?
 
Aise huwa mnajidanganya sana kwamba TEC wana nguvu hiyo wakati ni kijitaasisi uchwara tu.

Mkataba utapitishwa na hakuna mtu ataleta za kuleta mtabaki tu kupiga makelele mitandaoni.
 
Aise huwa mnajidanganya sana kwamba TEC wana nguvu hiyo wakati ni kijitaasisi uchwara tu.

Mkataba utapitishwa na hakuna mtu ataleta za kuleta mtabaki tu kupiga makelele mitandaoni.
Wao waendelee na mkataba wao ila sisi tumeshakabidhi kwa Mungu,
 
Reasoning capacity ya Kikwete ni very low. Yaani haoni kasoro kenye mkataba wa bandari mpaka aanze kusema udini kwa vile anayekosolewa ni muislamu mwenzake!
harafu yuko strategic alijua leo waraka unasomwa kaenda kuongea yale ili magazeti na vyombo vya habari kesho wakave stori yake!

utawasikia kina kitenge kesho
gazeti mtanzania linasemaaa!!!!

Naaaaaaam Twaribu" kikwete asema tusichanye dini na siasa! huku kakaza macho.
 

Amini nakwambia IQ yako na uwezo wako wa kuona mambo ni mdogo kupita kiasi
 
Reasoning capacity ya Kikwete ni very low. Yaani haoni kasoro kenye mkataba wa bandari mpaka aanze kusema udini kwa vile anayekosolewa ni muislamu mwenzake!
Eti reasoning ya mstaafu iko low [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Okay sitaki kutumia nafasi yake kuonesha how uwezo wake wa reasoning ni mkubwa.

Tuambie mkataba unakasoro gani ili tuverify reasoning capacity yako.
 
Kikwete ana akili ndogo kumbe! Issue ni content za mkataba, kwa mtu mwenye akili ambaye hana lililojificha nyuma yake, when one is discussing the content of the contract, religious inclination does not arise! Ni purely legal issues being discussed
 
Sawa kwa hiyo hili swala la Bandari rais wetu mpendwa si maamuzi yake?
Kama ni hivyo urais ni taasisi kwa nini asingetumia mbinu za kumzunguka huyu asiyetosheka na alivyochuma na vyanzo vyake vingine vya mapato yake halali?
 
Wewe ni zombi kwelikweli. Kuna mahali popote TEC imezungumzia chama chochote cha siasa?
 
punguza chumvi yako ya 300 kwanza tuendelee facken wewe, hawa wafilisti wakisifiwa na hao hao watu wa dini wanakunja nne wakikaripiwa wanakunja ndita, nyau mkubwa wewe.
 
Waende wakafanye kazi za kuchunga kondoo za bwana wasituletee firimbi hapa.. kwani sadaka na misa zimeisha ? au kondoo wao wamekosa nyasi? wadini wakubwa
Pole kwa kulishwa matanho pori ukashiba.

Mazuzu huwa mnadanganyika kirahisi Sana.

Taarifa ya zamani Sana Hii.

Ila kisu kimegusa penyewe. Nadhani Ni kwenye mfupa bila shaka.
 
Usitegemee TEC watakuja hapa kukujibu ama watatereka na waraka wao.. Hizo ni kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji
Unadhani Kuna mtu anataka kujibiwa na TEC!?..wao wakae kwenye vitubio wawasamehe waamini wao dhambi,au laa wakajisajili Kama chama Cha siasa,zama za kudekezwa zimepita kitambo
 
Asanteni sana TEC kwa tamko lenu.

Hakika Mungu ni mwema Sana.

Sasa tunaanza kuona nyoka wanatoka mapangoni😁

jakaya katokea wapi wakati alikuwa kimya muda wote tangu sakata la hili limkataba lianza?
 
Asanteni sana TEC kwa tamko lenu.

Hakika Mungu ni mwema Sana.

Sasa tunaanza kuona nyoka wanatoka mapangoni[emoji16]

jakaya katokea wapi wakati alikuwa kimya muda wote tangu sakata la hili limkataba lianza?
Wewe kwenu hamna wazee? Anaona mwenendo siyo mzuri lazima aeleze kabla hayajatokea madhara. Mnakenua kama ngiri yakitokea machafuko humu nchini mtajificha mapangoni kenge nyie.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…