Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Mie nahisi itakuwa biriani [emoji848]Wewe unaonaje kwani?[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nahisi itakuwa biriani [emoji848]Wewe unaonaje kwani?[emoji41]
Hakuna Kampeni hapo Mkuu na Wala hatuna Uchaguzi kwa sasa. Yupo Dereva makini Dkt. Samia Suluhu HassanNi kweli Rais wetu Mpendwa kafanya jambo zuri kwa wanachi wake.
ACHA KUPIGA KAMPENI DOGO, MUDA BADO!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hahaha Usiwe na Mashaka ndio Ukweli Amerudi Ili Kulifanyia kazi Janga Hili kwa Ukaribu MnooKatika watu ambao.imani yangu imeshuka katika kutoa taarifa sensitive za serikali ni huyu..
Amedangany mara nyingi sana Sidhani kama atasema kitu ntakiamini hata akisema hii ni jf inabdi nipate uhakika..
Na huenda yeye angekaa kimya nisingekuwa na Doubt kubwa ila yeye kuongea ndo kinachoongeza wasiwasi zaidi tukumbuke Magu
Leta zenye mashiko Utushike[emoji23][emoji23]Hoja za watanzania wengi za kumpenda au kumchukia mtu hazina mashiko
Kwa Tanzania imetokea baada ya ziara ila kwa Kenya ni kabla hata ya ziara.Ivi safari na hayo mafuriko kipi kilianza?.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app