Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

Mkuu kwani tuna;
1. Bombadia ngapi?
2. Dreamliner ngapi?
3. Airbus ngapi?

Nasikitika hizi ndege kuwa na engine mbovu kwani ukizipanda ni tamu sana pamoja na dreamliner.
Bombadia zina vikelele flani na kuyumba angani
Bombardier zina makelele kwa vile ni propeller engines na kwa haraka haraka ndio zinafaa viwanja vyetu vya kawaida. Zile jet engines ni gharama kuzitumia ila zina comfortability
 
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri.

Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90.

=====

President Samia Suluhu Hassan has convened an emergency meeting on November 14 in the capital Dodoma.

The meeting will involve cabinet ministers to discuss the Precision Air plane crash that claimed the lives of 19 people.

Samia was in Egypt immediately after the tragedy, meaning she didn't participate in the national funeral service.

The emergency meeting comes hot on the heels of calls from the public for government to be answerable for the lack of proper rescue strategy.

The last time such an emergency cabinet meeting was called by a president was in the 1990s, and it led to major changes.

An investigation into the plane crash is underway.

Citizen
Mkuu Replica, asante kwa taarifa hii, the Citizen should get their facts right, tangu 1990 mpaka leo 2022 ni zaidi ya miaka 30 na tumekuwa na marais 5, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia, marais wote hao wameitisha emergence cabinetes mara kibao kujadili jambo la dharura!. Hii sii kweli kuwa hii ndio the first emergence cabinet meeting since 1990s!.
P
 
Bombardier zina makelele kwa vile ni propeller engines na kwa haraka haraka ndio zinafaa viwanja vyetu vya kawaida. Zile jet engines ni gharama kuzitumia ila zina comfortability
Kwa kweli bombadia na hizi za Precision air sizipendi sana kwa kweli.
Angani hazina utulivu kelele na kuvumba flani
 
Kwa kweli bombadia na hizi za Precision air sizipendi sana kwa kweli.
Angani hazina utulivu kelele na kuvumba flani
Bora bombadia aisee prec ni kama unaingia kwenye marcopolo
 
Bora bombadia aisee prec ni kama unaingia kwenye marcopolo
Hahaha ninapofanya booking lazima nizame kujua ni aina gani ya ndege inapatikana nikiona ni bombadia huwa nabadili muda wa safari hadi nipate airbus
 
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri.

Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90.

=====

President Samia Suluhu Hassan has convened an emergency meeting on November 14 in the capital Dodoma.

The meeting will involve cabinet ministers to discuss the Precision Air plane crash that claimed the lives of 19 people.

Samia was in Egypt immediately after the tragedy, meaning she didn't participate in the national funeral service.

The emergency meeting comes hot on the heels of calls from the public for government to be answerable for the lack of proper rescue strategy.

The last time such an emergency cabinet meeting was called by a president was in the 1990s, and it led to major changes.

An investigation into the plane crash is underway.

Citizen
Nasikia pia France wanahusika katika uchunguzi wa ajali hii kwaiyo kama kuna jambo
 
Bora bombadia aisee prec ni kama unaingia kwenye marcopolo
Mimi napenda sana airbus kabla ya booking lazima nichunguze aina gani ya ndege nitatumia kama hivi;

Screenshot_20221113-170730_Chrome.jpg
Screenshot_20221113-170746_Chrome.jpg
 
Hali ya utendaji serikalini imebadilika na imekuwa mbaya kupita kiasi:-
1. Makamba
2. Nape
3. Riziwani
4. Mambo ya ndani ya nchi
6. Doto biteko
7. Nchemba
8. Majaliwa
9. Mbarawa
10. Wakuu wote wa wilaya
11. Makatibu tawala wa wilay
12. Wakurugenzi wa Halmashauri
13. Waziri wa aridh naye ni bomu
14. Makatibu wa ccm wa wilaya
Wote Hawa na wengine wengi ni wapigaji na wanapiga pesa bila kuja kesho kitatokea nini.
Asipowaondoa na kuwabafilisha wengine yajayo ni makubwa zaidi kuliko tunavyofikiria
Msoga Kingdom under sponsorship of The Government of the United Republic of Tanzania!
 
Mkuu Replica, asante kwa taarifa hii, the Citizen should get their facts right, tangu 1990 mpaka leo 2022 ni zaidi ya miaka 30 na tumekuwa na marais 5, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia, marais wote hao wameitisha emergence cabinetes mara kibao kujadili jambo la dharura!. Hii sii kweli kuwa hii ndio the first emergence cabinet meeting since 1990s!.
P
Labda kwa uzito!

Afterall mi sioni kama ni dharura zaidi Bi Samia ataenda kuwapa ufafanuzi wa kile kilichotokea kwakua huku Africa ukiwa Rais unakua next to Mungu... unapewa uweza na maarifa ya kujua yote.

Ufafanuzi utakuja kama ule wa pale Karimjee ya Tegeta Escrow!!
 
Ajali ilitokea lini? Hicho kikao cha dharura ndo kinaitishwa leo? Ingekuwa dharura kwanza asingeenda Misri badala yake angeitisha hicho kikao wakati huo.

MaCCM ndo yalivyo!
Wabantu wana matatizo sana ya kufikiria yaani kitu kilichotokea wiki nyuma leo wanaitana kukusanyika na kuuita mkusanyiko wao kwa jina la dharura wakati siku ile ndege ilipoanguka ndio ilikuwa dharura ila hawakujali wapo wapo tu.
 
Hii ishu sio ndogo kama watu wengi wanavyoichukulia. Nia aibu sana kwa Taifa.

Waziri Mkuu wangu sikusemi kwa ubaya ila unatakiwa uwe ngangari sana. Ni aibu sana kwa karne hii ndege inaanguka mita 100 kutoka airport unashindwa kuokoa watu. Tena inaangukia kwenye maji!

Na mnasimama kabisa majukwaani mnawasifu wavuvi kuokoa watu, kwa mtiririko wa matukio haionekani hata sehemu moja ambayo msaada ulitoka serekalini au airport wakati wa uokozi! Hii ni mbaya sana!
Mkuu yani yule KIJANA Mpiga kasia Ndiyo kaibeba sirikali, na vyombo vyake vyote. Ni aibu sana. Yaani ili wananchi waliolala wasiseme serikali kwa uzembe ule basi wameamua watoke na KIJANA yule mpiga kasia.media zote yeyeee !! Yaani mtumbwi nyenzo daraja la ngapi sijui ndy uokoe watu halafu sirikali isiwajibike wakati vyombo vyote vya uokozi vipo?? Nchi hii hatujapata viongozi makini kabsaa.
 
Kabla ya kutoka yeye alipaswa ajiuzulu boss wake

Afrika rais haitoki bali wanatoka wateule wake. Vinginevyo mwambie waziri mkuu apiganie katiba mpya madaraka ya rais yaounguzwe ili asiwe juu ya sheria.
 
Watu 19 wamekufa kwa uzembe wa kamati ya maafa alafu watu wako busy kupiga selfie na shujaa wa mchongo.

Hapo ni ā€œna hili nalo mkalitazameā€
 
Back
Top Bottom