Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Mtoa hoja alimaanisha madrasa. Hakutaka kukuambia ukweli
 
Riziwani kikwete ni mmliki mkubwa wa shell za kuuzia mafuta hapo nchini. Na baadhibya shell zake zimekodishwa na Kampuni ya Puma. Mnatarajia mafuta yashuke bei?

Embu zitaje [emoji28][emoji38][emoji16] watanzania bwana
 
Kama wanavuka lengo kwanini wanazidi kuongeza matozo kwenye bidhaa?

Ona matozo ya kwenye simu,!.. Ona ya kwenye mafuta!

Makamba akaja na ngonjera eti tumefuta sh 100 ya tozo kwenye mafuta, mamako akapiga kelele hoo hiyo tulishaipangia bajeti, kwanini hiyo inayovuka lengo hapo TRA isifidie?

Hamna rais hapo.
 
Ikiwa kwa neno "udini" una maanisha Uislam huo sitauacha.

Tuongelee facts, mimi nimekupa facts za Mwinyi na Kikwete umerukia udini, una akili sawa sawa wewe? Au unajidai tu wehu lakini yamekuingia.
 
Embu zitaje [emoji28][emoji38][emoji16] watanzania bwana
Kuna shell iliyoleta ugomvi kati yake na aliyekuwa DC mmoja mwanamke ambaye alikuwa amezaa na JK kuhusu upatikanaji wa hati yae eneo hilo .
Imejengwa pembeni mwa bara bara ya junction uwanja wa ndege wa Kilimanjaro airport.
sasa imekodishwa na Puma tena kwa hasara kwani haina wateja ila kwa sasabu ya baba yake puma hawana namna .
 
Wachumi wa kumshauri rais wapo mkuu...labda kuna mambo hayako sawa.
 
Kwani mapato ya TRA tuu ndio yanahudumia Nchi?

Mahitaji ya Nchi yanapungua? Tanzania imeshatosheka mahitaji ya pesa hadi uulize kwa nini tozo zinawekwa? Wewe unaishi Ulaya kwamba kijijini kwenu mambo yako poa?
 
Baada ya kikao Cha Jana Cha SSH, Tutegemee Ongezeko la Mafuta

Hakuna sehemu Mwigulu kawahi kukaa akaja na solution yenye auheni, Tutegemee MAFUTA kupanda nahisi pia atakuja na zile Kauli zakez tuhamie burundi.
Hakuna sehemu Mwigulu kawahi kukaa akaja na solution yenye auheni[emoji24][emoji24]
 
SULUHISHO ni kuondoa KODI zisizo na ULAZIMA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Watatukoma 2025, si wanatuona wajinga Elfu kumi unapata 3.15 lita tutaonana wabaya ooohhh
 

Nikimkumbuka Rais Samia ninamuwaza Joyce Banda wa Malawi.​

 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…