Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wacha watu wajifunze Kirumi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa hoja alimaanisha madrasa. Hakutaka kukuambia ukweliAcha upumbavu wa kidini, hauna faida yoyote kwa taifa lisilo na dini. Kila kitu uislam uislam, huna mengine ya kuandika? Nyie ndio mkipewa nafasi ya kuongoza mtaleta upumbavu nchini.
Hoja ni mafuta, serikali ifanye nini kupunguza bei ya mafuta na kushusha inflation tunayoiona, ambayo inaathiri uchumi wa raia mmoja mmoja.. haya mambo yako ya mwinyi, kikwete na samia nakuachia wewe uliye mpumbavu wa kufikiri.
Hata hivyo, kuwa kwangu kijana(kama unavyodhani) hakuna mahusiano yoyote na uwezo wangu wa kuchanganua hoja.
Riziwani kikwete ni mmliki mkubwa wa shell za kuuzia mafuta hapo nchini. Na baadhibya shell zake zimekodishwa na Kampuni ya Puma. Mnatarajia mafuta yashuke bei?
Kama wanavuka lengo kwanini wanazidi kuongeza matozo kwenye bidhaa?Kwa hiyo kutoa Kodi kwa hiari kuna husikaje na kutoza Kodi za dhuluma?
Utii wa sheria bila shuruti ni muhimu ila usipotii unashurutishwa ndicho nasema mimi,kwamba TRA wameshindwa kukusanya Kodi stahiki inavyotakikana kwa vyanzo hivi hivi vilivyopo achilia mbali vyanzo vipya..
Mwisho TRA kwa sasa wamekuwa wakivuka malengo licha kuzembea ila isingekuwa pressure hii ya bei ya mafuta wangeacha Bussiness as usual ila kwa sasa lazima wabadilike kulingana na prevailing situations kusudi wasiathiri utekelezaji wa bajeti ya serikali Kwa uzembe Kisa kisingizio cha kuondolewa au kupunguza kwa Kodi kwenye mafuta.[emoji116]
View attachment 2217619
View attachment 2217620
View attachment 2217621
View attachment 2217622
Ikiwa kwa neno "udini" una maanisha Uislam huo sitauacha.Acha upumbavu wa kidini, hauna faida yoyote kwa taifa lisilo na dini. Kila kitu uislam uislam, huna mengine ya kuandika? Nyie ndio mkipewa nafasi ya kuongoza mtaleta upumbavu nchini.
Hoja ni mafuta, serikali ifanye nini kupunguza bei ya mafuta na kushusha inflation tunayoiona, ambayo inaathiri uchumi wa raia mmoja mmoja.. haya mambo yako ya mwinyi, kikwete na samia nakuachia wewe uliye mpumbavu wa kufikiri.
Hata hivyo, kuwa kwangu kijana(kama unavyodhani) hakuna mahusiano yoyote na uwezo wangu wa kuchanganua hoja.
Kwa akili hizi ulizo nazo ndo mana bei zinapanda kila kukichaSasa siyo kazi ile ya ku i "promote" Tanzania? mnafikiri Urais ni kufoka-foka tu?
Dah Watanzania wengi mu wajinga sana.
Kuna shell iliyoleta ugomvi kati yake na aliyekuwa DC mmoja mwanamke ambaye alikuwa amezaa na JK kuhusu upatikanaji wa hati yae eneo hilo .Embu zitaje [emoji28][emoji38][emoji16] watanzania bwana
Wachumi wa kumshauri rais wapo mkuu...labda kuna mambo hayako sawa.Huu mkutano alioitisha usiku kutafuta suluhisho la bei ya mafuta ni public relations stunt kwani hauelekei kama utatoa suluhisho la tatizo !
Samia anatakiwa kuwa na jopo la wachumi Ikulu ( council of economic advisors ) ambao watamshauri hatua za kuwaelekeza wizara hatua mbali mbali za kuchukua matatizo ya uchumi yanapojitokeza! Hawa wa wizarani wanategemea muongozo toka Ikulu na Ikulu huwezi kupata ufumbuzi kutegemea ushauri wa mtu mmoja!
Samia anakosa input hiyo otherwise alikuwa hana sababu ya Kuwaita, jopo lake la wachumi lingeritoa muongozo. Bila utaratibu huo mama atateseka sana kwani huko mbele matatizo ya kiuchumi yatakuwa makubwa.
Kwani mapato ya TRA tuu ndio yanahudumia Nchi?Kama wanavuka lengo kwanini wanazidi kuongeza matozo kwenye bidhaa?
Ona matozo ya kwenye simu,!.. Ona ya kwenye mafuta!
Makamba akaja na ngonjera eti tumefuta sh 100 ya tozo kwenye mafuta, mamako akapiga kelele hoo hiyo tulishaipangia bajeti, kwanini hiyo inayovuka lengo hapo TRA isifidie?
Hamna rais hapo.
Hakuna sehemu Mwigulu kawahi kukaa akaja na solution yenye auheni[emoji24][emoji24]Baada ya kikao Cha Jana Cha SSH, Tutegemee Ongezeko la Mafuta
Hakuna sehemu Mwigulu kawahi kukaa akaja na solution yenye auheni, Tutegemee MAFUTA kupanda nahisi pia atakuja na zile Kauli zakez tuhamie burundi.
Toka 2015 wanapika data tuu sio? Tamisemi nao wanapika data sio?K
Kaxi muhimu iliyobaki TRA ni kupika data.
SULUHISHO ni kuondoa KODI zisizo na ULAZIMARais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Kwa hiyo elimu yako hii ya uchumi lazima uwe waziri wa fedha even governor of BoTAnza wewe kuuza vitu vyako uvishushe bei, unangoja nini?
Yule mama mshauri wake wa uchumi bado sana na yuko peke yake matatizo ni makubwa. We shall soon go into RECESSION!Wachumi wa kumshauri rais wapo mkuu...labda kuna mambo hayako sawa.
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo