Kauli zipi? Mimi naona wewe ndiye uliyefeli.
Mama anachapa kazi nyinyi mnapayuka. Unafikiri nchi inalala hata Rais ashindwe kuitisha kikao usiku? Wewe una information alizonazo yeye? Alikuita wewe au kawaita watendaji wake, fikiri kabla hujapayuka hovyo.
Hatimaye majibu ya kikao yapatikana 👇"Waandalieni chai na sharubati. Msisahau vitafunwa" Bajeti ikapigwa. Vyakula vikaandaliwa.
Ila kwa hapo sioni mlaji. So, naamini vilibaki na pengine kumwaga.
Bora hata ningekuwa mimi, ningetake away.
Duh, nchi hii! Yaani kwenye kikao nyeti, meza imejaa vyupa, glass na sahani. Si wangeweka jug moja la juisi na sahani moja ya karanga! Khaaa!
View attachment 2218255
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh, ingekuwa kashfa mahakama zingeamua walipwe? tena za Kimataifa na za Tanzania.Hao waliofungwa wakati wa Kikwete ni kwasababu walimyima mgao katika ufisadi wao ; kuwaonesha yeye ni nani Ndio akawafanyia figisu wakafungwa! Kashfa ya Richmond ile Ilikuwa ni ya Kikwete mwenyewe lakini Lowassa akamsitiri bila kufahamu kuwa mwenzie ni nyoka wa mdimu!!
Thubutu, eti amsitiri. Ile namba kubwa. Kikwete ni Rais pekee duniani kwa diplomasia yake aliyewahi kuwakutanisha Marais wote wastaafu waliohai na Rais aliye madarakani, nje ya USA kwa wakati mmoja
Wivu tu unakusumbua,mbona vitu vya kawaida tu hata huku mitaani migahawani vipo....acha woivu."Waandalieni chai na sharubati. Msisahau vitafunwa" Bajeti ikapigwa. Vyakula vikaandaliwa.
Ila kwa hapo sioni mlaji. So, naamini vilibaki na pengine kumwaga.
Bora hata ningekuwa mimi, ningetake away.
Duh, nchi hii! Yaani kwenye kikao nyeti, meza imejaa vyupa, glass na sahani. Si wangeweka jug moja la juisi na sahani moja ya karanga! Khaaa!
View attachment 2218255
Aaah migodi aliyoirudisha Kikwete iliuzwa na nani na kwa nani? Unaelewa?? Mawaziri waliofungwa wakati wa Kikwete umewasahau, na kwanini? Nikukumbushe? Waziri Mkuu aliyeweka rekodi ya kufukuzwa? Wakati nani akiwa Rais?
Hayo machache yanakutosha kwa yaliyopita, sitaki kwenda mbali zaidi.
Kwa ya juzi tu hapa: Ni nani aliyekopa pesa za kujengea treni ya umeme akaenda kujenga eyapoti kijijini kwao?
Hayo yote yana ushahidi kamili, sasa wewe umeleta porojo zako tu bila chochote chenye mashiko. Ukitaka nikurudishe nyuma zaidi, nipo tayari. Upo hapo ulipo?
Hayo madini yenu ya wazungu na waarabu mnayoyatetea ni ya kitapeli tu ..... yamejaa chuki tu na upumbavu.... ndio maana mimi nimeamua kua Atheist....Sio Muislam wala sio Mkristo.... ila naamani Mungu yupo na hana dini...Ni kweli uchawa wake kwa Marekani ndio uliwafanya MARAIS wengine wa kiafrica wasimuamini na kumfikiria kuwa he was a MOLE mpaka siku moja marehemu MUGABE akamtolea uvivu na kumsuta hadharani!!
Ni kweli sidhani nchi hii itakuja ongozwa na Rais FISADI kama Vasco Dagama; kawauzia WACHINA gas na waarabu kawauzia wanyama pori wetu mpaka wameanzisha parks zao hivyo kutokuwa na haja ya kuja kwenye mbuga zetu tena; hawatakuwa na haja ya kuja huku kama ROYAL TOUR inavyotegemea kwani watakwenda UARABUNI na kuona hao wanyama kwenye mazingira natural waliyotengenezewa!!! Kweli Vasco Dagama ufisadi wake hakuna mfano na hatosheki na mpaka hivi sasa mkewe ambae alimuombea awe mbunge anadai serikali imlipe kwa kuwa Mke wa Rais!!!!
Wewe mambo ya dini nimeyaandika wapi?Hayo madini yenu ya wazungu na waarabu mnayoyatetea ni ya kitapeli tu ..... yamejaa chuki tu na upumbavu.... ndio maana mimi nimeamua kua Atheist....Sio Muislam wala sio Mkristo.... ila naamani Mungu yupo na hana dini...
Kumbuka hapo ni ofisini, sio nyumbani/ dining hall.Wivu tu unakusumbua,mbona vitu vya kawaida tu hata huku mitaani migahawani vipo....acha woivu.
Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Vita imeisha huko Ukraine?
Bongo... Mama amejua kwamba mafuta yamepanda bei Leo usiku au?
Dooh ninahisi ni Mimi tuu nashangaa sio Kwa hivo vikombe jamn[emoji41][emoji41]Hiyo picha ni kweli toka jumba jeupe na hizo femosi kama za huku mikahawa ya kiswahili
Upo huru. Hakuna wakukuzuwia, na sisi tutuwe na "madini" yetu, yanakuwashia nini?Hayo madini yenu ya wazungu na waarabu mnayoyatetea ni ya kitapeli tu ..... yamejaa chuki tu na upumbavu.... ndio maana mimi nimeamua kua Atheist....Sio Muislam wala sio Mkristo.... ila naamani Mungu yupo na hana dini...
Makaku wa rais hana nafasi hapo au ni picha tu kuwa yupo upande wa pili?Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
Hizo ni porojo, Mugame kaishia wapi, kafanywa nini na wananchi wake kwa ufisadi wake? Unaleta story za mtu bogus kama yule?Ni kweli uchawa wake kwa Marekani ndio uliwafanya MARAIS wengine wa kiafrica wasimuamini na kumfikiria kuwa he was a MOLE mpaka siku moja marehemu MUGABE akamtolea uvivu na kumsuta hadharani!!
Ni kweli sidhani nchi hii itakuja ongozwa na Rais FISADI kama Vasco Dagama; kawauzia WACHINA gas na waarabu kawauzia wanyama pori wetu mpaka wameanzisha parks zao hivyo kutokuwa na haja ya kuja kwenye mbuga zetu tena; hawatakuwa na haja ya kuja huku kama ROYAL TOUR inavyotegemea kwani watakwenda UARABUNI na kuona hao wanyama kwenye mazingira natural waliyotengenezewa!!! Kweli Vasco Dagama ufisadi wake hakuna mfano na hatosheki na mpaka hivi sasa mkewe ambae alimuombea awe mbunge anadai serikali imlipe kwa kuwa Mke wa Rais!!!!
Hizo ni porojo, Mugame kaishia wapi, kafanywa nini na wananchi wake kwa ufisadi wake? Unaleta story za mtu bogus kama yule?
Kikwete utabaki porojo tu, huna hata kimoja cha maana, cha kumshutumu. Ndio kwanza anadunda na anaheshimika dunia nzima. Tartiib, kama sio yeye.