Nilielewa vitu vitapanda bei, ni nini hapo ambacho hujaelewa, kwani Tanzania hii vitu vimeanza kupanda bei leo? Au wa jana wewe? Wewe ni mjinga kweli kweli tena.Alivyosema vitu lazma vitapanda ulielewa Nini?
Kikwete utabaki porojo tu, huna hata kimoja cha maana, cha kumshutumu. Ndio kwanza anadunda na anaheshimika dunia nzima. Tartiib, kama sio yeye
Hizo ni porojo za wasio na uelewa.Una mapenzi nae hata ushuzi wake utasema ni utuli!! Huyu ametuibia mali zetu akishirikiana na HOME SHOPPING CENTRE kwa kuwaruhusu waingize maelfu ya makontena bila kulipa ushusuru kwa mpaka kumi ya utawala wake; halafu wanamgawia fungu ndio unasema naheshimika? Nyie chawa wake lazima mumuheshimu lakini waliowengi wanaojua ufisadi wake hawamuheshimu wala kumuona wa maana; wanamuona ni mwizi na mwenye tamaa asiyekuwa na hadhi kiasi cha kumuombea mkewe uBunge kwa Magufuli bila aibu!!!
Wewe ni chawa wao lazima uwatetee, watoto wako wanakwenda chooni kwa ufadhiri wao!!!Hizo ni porojo za wasio na uelewa.
Kauli ya "kula kwa urefu wa kamba" inadhihirisha hilo usemalo ndugu Lusungo .Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Hicho sio chakula, hizo ni bites tu na vinywaji laini, vikao vingi zinakuwepo hivyo , mbona ni kitu cha kawaida sanaKumbuka hapo ni ofisini, sio nyumbani/ dining hall.
So, ilitakiwa mandhari iendane na agenda. Tafuta picha za vikao nyeti vya nchi tunaojilinganisha nao kiuchumi, uone kama kuna huo uchafuzi wa kwenye discussion table! Then urudi na majibu sahihi kama ni wivu au la
Hakuna jipya chini ya tanzagizaTutarajie kushuka kwa bei ya mafuta.
Pole sana kwa kupoteza muda wako hapo 😃😃Wewe ni chawa wao lazima uwatetee, watoto wako wanakwenda chooni kwa ufadhiri wao!!!
Kila tunavyoishi duniani mapya lazima yawepo. Hujayasikia? au hujayapenda?Hakuna jipya chini ya tanzagiza
Wewe unatia kinyaa kwa kuharibu (kukiharia) Kiswahili.Wewe ni chawa wao lazima uwatetee, watoto wako wanakwenda chooni kwa ufadhiri wao!!!
"utuli" ndiyo nini wewe usiyejuwa hata lugha yako ya taifa?Una mapenzi nae hata ushuzi wake utasema ni utuli!! Huyu ametuibia mali zetu akishirikiana na HOME SHOPPING CENTRE kwa kuwaruhusu waingize maelfu ya makontena bila kulipa ushusuru kwa mpaka kumi ya utawala wake; halafu wanamgawia fungu ndio unasema naheshimika? Nyie chawa wake lazima mumuheshimu lakini waliowengi wanaojua ufisadi wake hawamuheshimu wala kumuona wa maana; wanamuona ni mwizi na mwenye tamaa asiyekuwa na hadhi kiasi cha kumuombea mkewe uBunge kwa Magufuli bila aibu!!!
Ningekiharia Kiswahili ninavyokujua ungekwisha kunisahihisha! Maadam hujanisahihisha hakuna uharo wa Kiswahili hapo!Wewe unatia kinyaa kwa kuharibu (kukiharia) Kiswahili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Anawawachia wenye kazi zao, kumbuka Kikwete ni mwanadiplomasi wa kidunia. Unafikiri hana anachokifanya kuhusu mgogoro huo? Kwa fikra zako finyu unafikiri wa kuongea nae ni Putin pekee?Wacha bwana!
Km dunia nzima inamkubali atusaidie kuongea na Putin atulize mashambulizi…
Haya basi " Uturi" haya makosa ya kidole!"utuli" ndiyo nini wewe usiyejuwa hata lugha yako ya taifa?
Acha kusingizia kidole, tazama key board yako, r na l ziko wapi na wapi? Ni shule tu za kusomea ujinga.Haya basi " Uturi" haya makosa ya kidole!
Acha kusingizia kidole, tazama key board yako, r na l ziko wapi na wapi? Ni shule tu za kusomea ujinga.
sasa anajadili mafuta gani wakati alishatuambia kuwa bei zetu ni ndogo kuliko marekani
Nilielewa vitu vitapanda bei, ni nini hapo ambacho hujaelewa, kwani Tanzania hii vitu vimeanza kupanda bei leo? Au wa jana wewe? Wewe ni mjinga kweli kweli tena.
Una mafuta unayozalisha hapa? kawapangie bei wanaouza mafuta, kama hujaziona foleni za kutafuta mafuta kama enzi za Nyerere.