KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Msiba wananiYupo msibani itakuwa hajarud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba wananiYupo msibani itakuwa hajarud
Hawana solution hao mtasikia blabla tupu. Labda wangoje majibu clubhouse na Maiaspaces kule Twitter!Rais Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo Mei 8, 2022 Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati ,January Makamba, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
Mwananchi
Waliopandisha bei wanaenda kuipunguza🤣Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
NonsenseRais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Huenda wameshafanya hivyo. Amewaita wakafanya conclusionHii siyo vizuri kwa afya ya mkuu wa nchi.
Mheshimiwa angewapa dondoo wasaidizi wake ambao ni mawaziri wenye dhamana wampatie taarifa na mapendekezo yao ifikapo kesho asubuhi juu ya kupata jibu la kutatua kadhia hii.
Kazi ingekuwa mawaziri husika pamoja makatibu wakuu kujikusanya usiku huu pamoja na makamishina, wakurugenzi na wataalamu kutafuta jibu muafaka.
Jamaa utakufa kwa preshaNonsense
Na kuzaa watoto wengi bila uwezo wa kuwalisha. Chanzo kula mihogo na maharage kila sikuBado uwezo wa watu wetu kiutendaji ni mdogo sana na hili sio hao waliopo madarakani tu bali hata wengi wetu huku uraiani..
Chanzo cha udumavu kwenye ubongo ni lishe duni kwenye ukuaji + malezi yasiyozingatia uelekeo wa dunia..
Dharula.Dharura
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Yupo yupo tu. Wasomi wengi huwa wanasoma kwa maslahi yao binafsi ndio maana utalamu wao haureflect faida kwa umma.Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi..?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha,hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Nonsense, kwake yeye movie ni kipaumbele kuliko hali na maisha ya watu.Rais Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo Mei 8, 2022 Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati ,January Makamba, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
Mwananchi
Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Kile cheo sijui ni cha kupigia picha, kila kitu utaona ni rais na waziri mkuu ndio wanafanya.Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi..?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha,hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Sasa kila siku wanaitana na wanaagizana harafu hawaji na majibu..Rais Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo Mei 8, 2022 Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.