Hivi hujui dikteta alifanya mpaka mitalimbo isinyae? Maisha magumu tuliambiwa tuishi kama mashetani unafikiri kisaikilojia hata machine itasimama iweze kupitisha Moto? Lile jitu angeendelea kuwepo tungejeuka hanithi.Wewe hata mume wako akishindwa kusimamisha jogoo akupande unasingizia yule dikteta
Fact.View attachment 1829380Kanisa katoliki halijaweza kabisa kutuletea viongozi watenda haki,wenye upendo na kujali maisha na utu wa watu!! Ukiacha hawa wadogo tizama yule wa awamu yakwanza,yatatu na tano!! Watu tumeteseka mmmno na kanisa halikukemea bali kusifu!
Kanisa hili huwa linajali sana pesa na miradi,kufukuza/kutenga wanaokosea,kutosamehe na ukali usiostahili,kujipa utakatifu usio wakweli,usomi feki na viongoz wa kutooa/kuolewa huku kadhaa wakimega megana kisela nk. nk.
Hawastahili kukosoa kosoa madoa serikalini maana wao wanamidoa sugu!!
Kwani waliporwa na nani?Hivi tulichelewa wapi kumpata huyu Rais? Hakika natafakari sipati jibu. Na ninakuhakikishia Kanisa Katoliki watarejeshewa shule zao zote. Halafu muone zitajavyokarabatiwa na kufaulisha Kwa viwango. Hawa wakatoliki ni kiboko. Ni intellectuals kwelikweli.
Tunakuombea maisha marefu mama yetu.
Hayo ni mambo Yao wanaongea na kiongozi wa nchi. Wana media zao kibao watatoa. Hilo ndiyo Kanisa Katoliki la wenye maprofesa na PhD za ukweli Siyo kama ya Yule jitu lileeee ambaye ukiiigusia Tu unakwenda na H2O.Nimependa kumweka kati na kuongea naye pembeni bila media kushiriki, hiko kikao cha siri mama atajuta kuwafahamu hao wazee.
Geuza kiooView attachment 1829386Mimi sio Mdini lakini ina nipa shaka sana hali hii
1. Musiba ni msabato
2. Sabaya ni Msabato
3. Odunga ni Msabato
4. Josefu Ni msabato
5..........
Ndio maama wasabato hawapendi siasa. Maana hawaiwezi.
nothing personal
Yaani hakika hili Kanisa ni la wenye akili. Na viongozi wakubwa wengi walisoma hizo shule za mission. Wewe muulize JKikwete atakuhadithia.ila RC.yAANI SHULE 1400 MWAKA 70.KWELI RC NI KANISA MAMA
Yana platforms zao. Kuna TEC,CCP, BAKWATA n.k. Hivyo hatembelei kila Moja Bali ni zile taasisi zao mwavuli (umbrella) na ziko chache Sana.Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
Kwa mara ya kwanza nimemsikia mama akitamka ...."Tumsifu Yesu Kristo..."
Mimi ni muumini wa dini za jadi ila jambo la mama kutotamka maneno hayo limekuwa likivuma Sana hapa!
Unamwombea afanyaje? Maana kuna yale maombi ya urejeshoMimi huwa namuombea huyu Mama dua Kimya kimya tena kutoka Moyoni.
Yana platforms zao. Kuna TEC,CCP, BAKWATA n.k. Hivyo hatembelei kila Moja Bali ni zile taasisi zao mwavuli (umbrella) na ziko chache Sana.Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
Mkuu hinifikii Mimi. Nimembeba hasa kwenye maombi binafsi na ya familia kila siku usiku.Mimi huwa namuombea huyu Mama dua Kimya kimya tena kutoka Moyoni.
Hawa walikua wanajitekenya na kujifurahisha wenyewe, Dunia nzima iko gizani halafu Maguful aishinde corona[emoji41]?
Sasa wale wahuni wa ile kamati ya amani muheza wapo chini ya nani?Yana platforms zao. Kuna TEC,CCP, BAKWATA n.k. Hivyo hatembelei kila Moja Bali ni zile taasisi zao mwavuli (umbrella) na ziko chache Sana.
Dominance hailetwi na mh.rais, ipo kwa yenyewe, taasisi kama ya kanisa katoliki ni kubwa, kongwe na imara kuliko taasisi yoyote nyingine ya kidini chini ya jua, ukwel huu hauwezi kupuuzwa kwa jina la kutaka kubalance mambo, ndiyo maana maraisi wote wa dini zote huitwa na kwenda barazani tec kuteta na wazee. Serikali inalihitaji zaidi kanisa katoliki kuliko kanisa katoliki linavyohitaji serikali, hivyo lazima kuwepo na umoja kati yao na mnufaika ni wewe na mimi wananchi.Kuwe na jukwaa la pamoja la watu wa dini mbalbali sio kukutana na vikundi tofauti tofauti vya dini,utakutana na vikundi vingapi? Afu inaleta taswira ya ubaguzi na dominance kwenye imani
Niwemugizi na Ruwa'ichi tunawajua ni CHADEMA wenzako... baadhi ni wanafiki sana hao maaskofu! Hapo askofu ni Niwemugizi na Ruwa'ichi tu wengine chenga linapokuja suala la kuwaonya watawala. Wanageuka na kushiriki nao karamu za dhuluma!
Siha njema na Mungu amlinde na wafuasi wa IbilisiUnamwombea afanyaje? Maana kuna yale maombi ya urejesho