Hawana akili hizo, wengi wao masuala ya siasa yamewapita kushoto wapo porini na ng'ombe zaoMwisho wa kuzaa sana kwa wasukuma ni Silaha ya kupata Kura nyingi Za kuiondoa ccm madarakani
Shaka alitaka kuwafurahisha Wasukuma,sababu wao upends kuzaa watoto wengi na kuwa na familia kubwa. Viongozi hawana budi kulisemea ili .Ongezeko la watu lisiloendana na rasilimali ni janga kubwa litakalonyemelea Taifa na watu wake. Kwa hili tuache unafiki wa kisiasa.
Mwambieni Samia KILA MTOTO UJA NA SAHANI YAKE.
Na rizki zinatoka kwa Mungu
Kodi za wazazi wao zinaenda wapi?Sahani za watoto panya road ziko wapi??
Shaka anaweza kuwa mwenezi wa Chama tawala Tanzania pekee. Hata Sheli Sheli haiwezekani.Nafasi ya ukatibu mwenezi kwa wengine maana yake ni kusema tu kila unapopewa nafasi, tena ikibidi hata usijipe muda wa kutafakari kile unachotaka kusema.
Kodi za wazazi wao zinaenda wapi?
Kweli Kabisa hasa Kanisa la KKKT Moshi wanawadanganya waumini wao wazae watoto wengi ili hali hawawatembelei wala hawajui wanakula nini........Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini
Rais Samia akajibu “Hilo la zaeni tu hapana, jana nimesimama Buseresere naambiwa kituo kimoja kinazalisha watoto 1000 kwa mwezi, sasa hapo baada ya miaka mitatu ni madarasa mangapi? Kama ni vituo vya afya vingapi, tani za chakula ni ngapi? Punguzeni kidogo spidi.”