Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa
Wewe ondoa utumbo wako hapa, kama unataka kuzaa kama simbilisi tafuta kisiwa chako ukaishi huko na wenzako kama wewe.

Vijana wamezagaa kila kona hawana ajira, panya road wamejaa kila mahali, hospital zimezidiwa na wanafunzi bado wanakaa chini halafu bado huko hapa unabwabwaja utumbo wako.
 
Umejikita kwenye wingi na sio ubora.
 
Mleta mada nani kakwambia watu kuwa wengi ndo nguvu kazi kubwa?

Nani awesomeshe hao watu? kwa pesa ipi? Wewe kazi yako iqe kuzaa tu alafu serikali ikusomeshee?

Rais yupo sahihi. lazima tuzae kwa mpango na mpangilio. No wonder kumejaa umaskini uliopindukia kwa kuzaa tu bila mpangilio
 
Mkuu kazi anayofanya Rais ni tofauti na tunayofanya humu ndani ya kujua kupinga tu. Rais ndio anayetafuta pesa ili hao mamilioni ya watoto waweze kusoma na kupata afya njema.

Ni kweli kuwa watu wakiwa wengi kuna faida kwa nchi kwa miaka mingi ijayo kwa maana ya soko la bidhaa la uhakika lakini kuna changamoto zake tena nyingi.

Wanazalishwa maskini wa baadae, wanazalishwa walalamikaji wa baadae, unazalishwa utapeli, ujambazi na kila aina ya utafutaji pesa kwa njia haramu.
 
Kwa africa hicho kitu ni ngumu... jiulize vile vinchi vya ulaya magharibi mbona havina population kubwa lakini vimeendelea?

Hivi China na India ni developed countries? Umewahi fika India ukajionea wanavyoishi kama panya?
 
Kwani wewe ukizaa na kuacha kuilalamikia serikali Kuna shida gani?

Kuwa na watu wengi kama wewe ni mzigo kwenye Nchi ndio maana Rais hawataki..

Ingekuwa ni Faidia mbona Leo Hii msiwe na uchumi mkubwa kuzidi Angola au Ghana zenye Watu wachache kama?

Kuna tabia miwatu imeanzisha,inaondoka na kifamilia yanazaana hovyo afu yanaenda mbali huko yanaamza kudai huduma, Nyerere alikomeshaga huu upuuzi wa kila mtu kuanzisha Vijiji vyenye Koo zinazofanana.
 
Baba analipwa 500K kwa mwezi, mama analipwa 500K kwa mwezi kipato cha familia ni 1M, kama wana watoto 2 maana yake kipato cha kila mwanafamilia ni 250K... vipi kama wana watoto 8?
 
JPM alisema tuzaane tu 'wasomi ' wakamjia juu na umuhinu wa kizazi wa Mpango

Samia kasema tupunguze speed 'wasomi wetu' wamemjia juu na takwimu za umuhimu wa kuwa na watu wengi

Pohamba nikiwa Rais nitasema tuzaane sana japo tupunguze speed
 
JPM alisema tuzaane tu 'wasomi ' wakamjia juu na umuhinu wa kizazi wa Mpango

Samia kasema tupunguze speed 'wasomi wetu' wamemjia juu na takwimu za umuhimu wa kuwa na watu wengi

Pohamba nikiwa Rais ntasema tuzaane sana japo tupunguze speed
Huyo anayempinga Samia umetumia kigezo gani kuwa ni msomi?.

Maana hata majibu anayopata kutoka kwa wachangiaji yote yanampinga
 
Uwingi wa watu kupindukia, teba usioebdana na ukuaji wa uchumi, ni balaa.

Ona Wachina na wahindi wanavyotangatanga Dunia nzima. Kila mhindi na mchina, anaona mafanikio yake ya kwanza ni kuondoka nchini mwake.

Angalia ubora wa maisha kwa mataifa yenye idadi ndogo ya watu ukilinganisha na ukubwa wa eneo la nchi yao:

Australia
Norway
Finland
Sweden
Qatar
Domika
Austria
Dernmark
Japan
USA

Hata hapa nchini mwetu, sehemu ambayo ni highly populated, ukiondoa Dar, ni Kanda ya Ziwa. Nenda maeneo hasa ya vijijini ukaone viwango vya maisha yao jinsi vilivgo duni.
 
Ni umaskini mtupu
Baba analipwa 500K kwa mwezi, mama analipwa 500K kwa mwezi kipato cha familia ni 1M, kama wana watoto 2 maana yake kipato cha kila mwanafamilia ni 250K... vipi kama wana watoto 8?
 
JPM alisema tuzaane tu 'wasomi ' wakamjia juu na umuhinu wa kizazi wa Mpango

Samia kasema tupunguze speed 'wasomi wetu' wamemjia juu na takwimu za umuhimu wa kuwa na watu wengi

Pohamba nikiwa Rais ntasema tuzaane sana japo tupunguze speed
Waliompinga, uwezekano mkubwa ni watu wenye uelewa mdogo, nina hakika hawawezi kuwa wasomi.
 
Hiyo China yenyewe unasema kwa miaka karibu 50 sasa wamekuwa na sera ya mtoto mmoja, kwanini wasisitize waendelee kuzaana ili wawe wengi zaidi ili wauziane mahindi? Akili zingine bhana.
 
Kwani wewe ukizaa na kuacha kuilalamikia serikali Kuna shida gani?

Kuwa na watu wengi kama wewe ni mzigo kwenye Nchi ndio maana Rais hawataki..

Ingekuwa ni Faidia mbona Leo Hii msiwe na uchumi mkubwa kuzidi Angola au Ghana zenye Watu wachache kama?

Kuna tabia miwatu imeanzisha,inaondoka na kifamilia yanazaana hovyo afu yanaenda mbali huko yanaamza kudai huduma, Nyerere alikomeshaga huu upuuzi wa kila mtu kuanzisha Vijiji vyenye Koo zinazofanana.

Sasa hivi wamevamia maeneo ya Inyonga, Katavi. Aisee miaka mitano watawazidi wenyeji.
 
Back
Top Bottom