chidy said
Member
- Oct 20, 2019
- 64
- 123
Karushwa viwiliKapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Jenerali
Mwenzake kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Luteni Jenerali
Hii ki-protocal imekaaje....??? hajarukishwa Cheo huyu mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karushwa viwiliKapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Jenerali
Mwenzake kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Luteni Jenerali
Hii ki-protocal imekaaje....??? hajarukishwa Cheo huyu mwamba
Kati ya vitu sijuagi ni vyeo vya kijeshi aisee naonaga kama hesabu za maumboKwa wale wasioelewa, Lt General anakuwa mmoja ktk jeshi la TZ. Kwa hiyo sio kweli kuwa amewaruka Lt Generals akamchukua Major General.
Hata Rais ni Afandehuwa sipendi kusikia Mkuu wa Majeshi anaitwa "Afande...Mkuu wa Majeshi" sielewi hili neno "afande" ni sahihi kulitumia kwa wenye vyeo vya juu?!
kwa uelewa wangu nilidhani kwa vyeo vya juu anatakiwa kuitwa "kamanda".
naomba ufafanuzi kwa wenye kujua maana huwa nahisi kumuita "afande" ni kama kudunisha cheo chake.
wataalamu naomba mtusaidie hapo.
Zungumza unachokifahamu. Sirro ni kijana mdogo, hajafika 60 ujueSirro nae ajiandae. Soon moshi mweupe utatoka. Kwanza Sirro alishastaafu long time sema Magufuli akaamua tu kuendelea nae.
Uteuzi mzuri wenye dalili za kuijibu hii hoja, Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? Tangu kuanzishwa kwake JWTZ mwaka 1964, baada ya Luteni Generali mmoja tuu mwenye jina la Abdalah, ambaye alikuja kuwa CDF, leo ndio Luteni Generali wa mwingine mwenye jina la Salumu ameteuliwa, akiwa ndie Mzanzibari wa kwanza kufikia cheo hicho, na hivyo kuweka a possibility ya Tanzania kuja kupata CDF kutoka upande wa pili wa Muungano in future.Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (Chief of Defence Forces – CDF).
Kabla ya Uteuzi huo, Mkunda alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi (Chief of Operations and Training).
Rais Samia pia amempandisha Cheo Meja Jenerali Salum Haji Othman kuwa Luteni Jenerali na amemteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff – C of S).
Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Othman alikuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo Jeshini (Commissioner for Research and Military Development) katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Vile vile amemteua Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi ambapo kabla ya uteuzi huo alikuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Uapisho utafanyika tarehe 30/06/2022 saa saba mchana Ikulu, jijini Dar es Salaam.
View attachment 2276626
View attachment 2276683
Picha: Meja Jenerali Jacob John Mkunda
Unauhakika? Unakumbuka mkuu wa MONDULI alikuwa LT. Gen Na mwingine akateuliwa kuwa balozi na mwingine akawa MNADHIMU.Kwa wale wasioelewa, Lt General anakuwa mmoja ktk jeshi la TZ. Kwa hiyo sio kweli kuwa amewaruka Lt Generals akamchukua Major General.
HayaAcha papara, utamjua na kumzowea tu mpaka basi
Ni mpenzi wa ChademaTaarifa inaeleza kwamba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ,
Tuna pokea ila huu uteuzi una siri kali... Let keep silence muda utatupa majibu japo tunaliomnea Taifa letu. AmenRais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (Chief of Defence Forces – CDF).
Kabla ya Uteuzi huo, Mkunda alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi (Chief of Operations and Training).
Rais Samia pia amempandisha Cheo Meja Jenerali Salum Haji Othman kuwa Luteni Jenerali na amemteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff – C of S).
Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Othman alikuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo Jeshini (Commissioner for Research and Military Development) katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Vile vile amemteua Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi ambapo kabla ya uteuzi huo alikuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Uapisho utafanyika tarehe 30/06/2022 saa saba mchana Ikulu, jijini Dar es Salaam.
View attachment 2276626
View attachment 2276683
Picha: Meja Jenerali Jacob John Mkunda
Wewe umeona nikawaida hata kabla yakuuliza huwo wasifu?Taarifa inaeleza kwamba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi , ili kuziba pengo lililoachwa na na Venance Mabeyo anayestaafu kwa mujibu wa Sheria .
Kwangu mimi General Mkunda ni jina jipya kabisa , Naomba mwenye kuufahamu wasifu wa kiongozi huyu atuwekee hapa tumfahamu , japo kwa ufupi tu ili tusiingie ndani sana kwenye mambo ya Kijeshi .
Natanguliza shukrani
Sio Rwanda lkn maana nshakusoma tiariMimi nasubiri safari yake kwanza nje ya nchi kama Mkuu wa Majeshi itakuwa wapi, naweza kuhisi lkn ngoja nisubiri, …
Abarikiwe sanaNi mpenzi wa Chadema