Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega
Mama mtoto anajuta sasa
hajuti, ndio kwanza anafurahi,alimtupa kwasababu ilitunga kwa ajali, akashindwa kuicholopoa,alipozaa mtoto, akamtelekeza kwasababu hawezi kumlea, hivyo sasa anafurahi na kumshukuru Mungu,mwanae,atalelewa vizuri,na huko mbeleni atakuwa kama Wanu na Dully, ndipo mama mtu ataibuka!
P
 
Huyo mtoto hajatelekezwa ni usanii tu unafanyika hapa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.

Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai.

Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa Januari 17, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.

Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.

Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.

“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.

Source: Ikulu

Siasa tupu kwanini asimuite jina la mumewe kama watoto wake wengine! kwasababu akimwita Amir haita msaidia kisiasa. Kama kweli anapenda na kujali basi awatoe watu alio wateka kwanza kwa Mama zao na ndugu zao. Ameteka 100 sasa anatudanganya na katoto very sad!
 
Mopak
haijalishi unanifahamu au haunifahamu..na hayo ndo majina yangu sina pseudo names

NITAKUPOKEA UTAKAVYO KUJA na umri wako huo..
 
Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.

Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,

Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
We mzee juzi tumetoka kusema umeanza kuwa na akili tumekusifia kwelikweli leo tena unasema huyu raisi feki apate thawabu kwamba umesahahu watu,watoto na wamama aliotoa amri wauliwe.
 
Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.

Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,

Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
Acha uoga mgonge vizuri samia kama ulivyomgonga madelu.

Anajaribu kujipendekeza ila ana hatia ni sawa na jambazi aliekuvamia na kuuza watoto WAKO BILA kuchukua Mali alafu kesho anaokota mtoto amlee unategemea mtoto AKiKUWA atakuwa nani kama si jambazi B
 
tega matako nakuja kiivo na usilalamike na kwanza hata sion cha kujbizana wewe
Haina shida
Ukileta utoto nitakuja kiutoto, ukileta utu uzima na mimi nitakuja hvo hvo, ukileta usenga nami nitakugonga hvo hvo, ukinyamaza nam hvo hvo..
Utachagua ufanye nini
 
Baada ya miaka kadha, mama mzazi anakuja kujitokeza na kumporomoshea maneno makali mtoto kwamba hamsaidii, wakati alimtupa mwenyewe...

Cc: Mahondaw
 
Anahangaika sana na kupendwa lakini haitokuja kuwa tena ...hata awaasili maelfu, kama hawezi kujinyenyekesha kwa raia waliopoteza watoto na ndugu zao 29 ni kazi Bure.

Watanzania hawamtaki, period.
 
Haina shida
Ukileta utoto nitakuja kiutoto, ukileta utu uzima na mimi nitakuja hvo hvo, ukileta usenga nami nitakugonga hvo hvo, ukinyamaza nam hvo hvo..
Utachagua ufanye nini
kwa bahati nzuri babako yupo nakushauri kaa nae chini umuulize swali hili, {maisha ni nini} akikujibu kua uyaone toka nenda uoge ulale but akikuambia ngoja ntakwambia toroka ulipo. Nenda hadi kwa mamako na swali hilo hilo akikuambia mwanangu kwa mda huu kama sio babako ningekua na kazi yangu. Ndo ujue unajibishana na nani
 
Toa mbwela mbwela zako
Hakuna kitu hapo, kua uyaone mwenyewe!
 
Haya maigizo wala hayatusahaulishi October 29.

Badi tuko na yeye mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom