granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
akikua na kupata maisha atajitokezaMama mtoto anajuta sasa
akikua na kupata maisha atajitokezaMama mtoto anajuta sasa
Muuaji mara zote anajionesha kupenda watoto!“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Source: Ikulu
Hapo lazima ajute! Mtoto kadondokea mikononi mwa muuaji!Mama mtoto anajuta sasa
kerekerongo tarebwa inkundo niyo ikugutugunya nyamatoro gaisisire tahira obhokangi weinyu. Erendanya u are lucky humu ndani unajitapa tu bure na kwanza wenyu nehe erenge nyagikuri keberetu gose wahatera kwibaToa mbwela mbwela zako
Hakuna kitu hapo, kua uyaone mwenyewe!
Jema wapi wewe mzee?Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
We tuliza eghesoneree nyakemenikerekerongo tarebwa inkundo niyo ikugutugunya nyamatoro gaisisire tahira obhokangi weinyu. Erendanya u are lucky humu ndani unajitapa tu bure na kwanza wenyu nehe erenge nyagikuri keberetu gose wahatera kwiba
Mkuu Mayalla, sina uhakika kama umefikiria critically. Issue kama hii inahitaji a social policy solution, kwa sababu huyo mtoto ni mmoja tu miongoni wa wengi waliokutwa na situation kama hiyo. Why does that particular child deserve preferential treatment?Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa.Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa Januari 17, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.
Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Source: Ikulu
Acha uchawa mzee. Samia Suluhu Hassan is a world's tyrant President. Ni muuaji wa kimbari aliyeua ili atamalaki. Na huyu kama alivyoua, mbwa pia watailamba damu yake.Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
“atupe kwanza miili ya ndugu zetu aliyoificha tukazike ndio tutamuelewa” au “ afufue kwanza ndugu zetu alioua ndio tutamuelewa’Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa Januari 17, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.
Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Source: Ikulu
Wanaoua vijana wa kiTanzania wanajuwa wanalolifanya?“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Hana uhai mrefu wa kumtunza huyo mtoto; na hata kama ataishi maisha yake yatakuwa ndani ya jela akiwajibishwa kwa uhalifu mkubwa aliolisababishia taifa hili.Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
Nawe hapa unamsemea nani?Usitujumuishe kwenye ujinga wako huo
Sema wewe hautampenda
Mhimize "akuasil"i haraka, maana siku zake zinahesabika huy!Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.