Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
hajuti, ndio kwanza anafurahi,alimtupa kwasababu ilitunga kwa ajali, akashindwa kuicholopoa,alipozaa mtoto, akamtelekeza kwasababu hawezi kumlea, hivyo sasa anafurahi na kumshukuru Mungu,mwanae,atalelewa vizuri,na huko mbeleni atakuwa kama Wanu na Dully, ndipo mama mtu ataibuka!Mama mtoto anajuta sasa
Huyo mtoto hajatelekezwa ni usanii tu unafanyika hapa.hajuti, ndio kwanza anafurahi,alimtupa kwasababu ilitunga kwa ajali, akashindwa kuicholopoa,alipozaa mtoto, akamtelekeza kwasababu hawezi kumlea, hivyo sasa anafurahi na kumshukuru Mungu,mwanae,atalelewa vizuri,na huko mbeleni atakuwa kama Wanu na Dully, ndipo mama mtu ataibuka!
P
JF ina watu wa ajabu sana!,akifanya jambo jema,tunampongeza!Daaah Mzee Pasco Unafki ni jadi Yako 😁😁😁😁
Kumbe muda mwingine una akili.Kwahiyo huyu m1 ana thamani kuliko watu maelfu walio angamizwa tar 29/10?
Km huyu aliokotwa huko alikotupwa, basi na wale waliokufa 29/10 watupwe ili ndugu na wahusika wao wawaokote pia wakawahifadhi kadri ya taratibu zao.
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa Januari 17, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.
Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Source: Ikulu
Duh...!Huyo mtoto hajatelekezwa ni usanii tu unafanyika hapa.
Nguvu unayotumia kusifu na nguvu unayoitumia kukemea ni parallel.JF ina watu wa ajabu sana!,akifanya jambo jema,tunampongeza!
P
We mzee juzi tumetoka kusema umeanza kuwa na akili tumekusifia kwelikweli leo tena unasema huyu raisi feki apate thawabu kwamba umesahahu watu,watoto na wamama aliotoa amri wauliwe.Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
Michezo hii.Hamna mtoto aliyetelekezwa hapo,
Ni janja janja tu.
Acha uoga mgonge vizuri samia kama ulivyomgonga madelu.Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
Haina shidatega matako nakuja kiivo na usilalamike na kwanza hata sion cha kujbizana wewe
kwa bahati nzuri babako yupo nakushauri kaa nae chini umuulize swali hili, {maisha ni nini} akikujibu kua uyaone toka nenda uoge ulale but akikuambia ngoja ntakwambia toroka ulipo. Nenda hadi kwa mamako na swali hilo hilo akikuambia mwanangu kwa mda huu kama sio babako ningekua na kazi yangu. Ndo ujue unajibishana na naniHaina shida
Ukileta utoto nitakuja kiutoto, ukileta utu uzima na mimi nitakuja hvo hvo, ukileta usenga nami nitakugonga hvo hvo, ukinyamaza nam hvo hvo..
Utachagua ufanye nini
Toa mbwela mbwela zakokwa bahati nzuri babako yupo nakushauri kaa nae chini umuulize swali hili, {maisha ni nini} akikujibu kua uyaone toka nenda uoge ulale but akikuambia ngoja ntakwambia toroka ulipo. Nenda hadi kwa mamako na swali hilo hilo akikuambia mwanangu kwa mda huu kama sio babako ningekua na kazi yangu. Ndo ujue unajibishana na nani