Muuaji mara zote anajionesha kupenda watoto!
 
Toa mbwela mbwela zako
Hakuna kitu hapo, kua uyaone mwenyewe!
kerekerongo tarebwa inkundo niyo ikugutugunya nyamatoro gaisisire tahira obhokangi weinyu. Erendanya u are lucky humu ndani unajitapa tu bure na kwanza wenyu nehe erenge nyagikuri keberetu gose wahatera kwiba
 
Jema wapi wewe mzee?
Yaani baada ya kuuwa watu kwa makumi elfu, kuzuga tu kuwa kaasili katoto mmemsamehe!!!
Watanzania tupimwe akili!

Mmesahau mara hii mauaji ya halaiki! Kina Polepole, Mdude, kesi ya kishetani ya Lissu, Mdude, mtoto aliyechoma picha yake kuuliwa kinyama!! Jiupusheni na laana juu ya nchi yetu
 
Mbona taarifa kutoka kwa Mange Kimambi zinasema yule mtoto ni kutoka Zanzibar tena kazaliwa kwenye familia ya Rais mwenyewe?
 
kerekerongo tarebwa inkundo niyo ikugutugunya nyamatoro gaisisire tahira obhokangi weinyu. Erendanya u are lucky humu ndani unajitapa tu bure na kwanza wenyu nehe erenge nyagikuri keberetu gose wahatera kwiba
We tuliza eghesoneree nyakemeni
 
Hii ni changa la macho,
This is calculated move to make her Innocent with clean hands, tumesoma mchezo mapema sana ila kwa level ya yale Mauaji wahanga hawawezi kumsamehe mpaka aombe msamaha na kukemea utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia.

Watanzania tulitegemea tumepata rais mwanamke mwenye huruma, tunachokiona sasa ni tofauti kabisa,
Women shouldn't be trusted in any leadership position,
Hata Yesu hakuwa na Mitume mwanamke, He knew these people are problematic and easily manipulated
 
Mkuu Mayalla, sina uhakika kama umefikiria critically. Issue kama hii inahitaji a social policy solution, kwa sababu huyo mtoto ni mmoja tu miongoni wa wengi waliokutwa na situation kama hiyo. Why does that particular child deserve preferential treatment?
 
Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa.
Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali hupooza hasira au ukali wa Jambo kwa muda mfupi tu.

Upole ni karama ya Roho Mtakatifu, imetoka kwa Mungu, mtu anaweza kuwa muongeaji sana ana vituko na vibweka vingi lakini Nani mwake akawa ni mpole aliyejawa na matendo ya huruma na mwenye hofu ya Mungu.

Ukimya ni hali ya kukaa kimya tu ili uonekane mbele za watu kwamba wewe ni mpole lakini katikati ya ukimwa wako huo ukawa ni mkatili, muuaji na mshenzi na dhalimu daraja la Kwanza.

Sasa ndugu wewe uliyeua maelfu ili utamalaki, alipokufa jirani yako kwa kuuawa kinyama ulisema kifo ni kifo tu, msilete taharuki.

Watoto wa mjomba wako wanatekwa wanapotezwa na kuuawa unaona POA tu.

Juzi kati umeamuru watoto kutoka nchi jirani waliuliwe kwa makumi elfu, Mara tena ukasema sio watoto wa majirani ila watoto wa mdogo wako.

Hukuwahi kuonesha kujuta wala kutubu kwa uovu huo, hadi sinagogini wakakusuta, sasa ndio unajidai kuasili mtoto.

Watanzania sio mazumbukuku, wewe ni muuaji, wewe ni Yezebeli unayenuka damu za watu wasio na hatia.

Umeasili mtoto ili upate bebeo la kisiasa na utengeneze kiki ili kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, na ChoiceVariable wakuone wewe ni mtu wa maana kumbe kibwengo tu
 
Acha uchawa mzee. Samia Suluhu Hassan is a world's tyrant President. Ni muuaji wa kimbari aliyeua ili atamalaki. Na huyu kama alivyoua, mbwa pia watailamba damu yake.

Hatudanganywi kwa peremende. Uue makumi elfu ya watu halafu Leo ujidai unaasili katoto kamoja ili tukuone kwamba wewe ni mtu mwenye huruma.

Wewe ni Yezebeli
 
Huyo mtoto anayo bahati mbaya sana.

Atakapokuwa mkubwa na kuwa na fahamu ataelewa kuwa mtu anayemdai kuwa mlezi wake ni mtu mwovu, muuaji wa waTanzania

Ukitaka kujuwa ulaghai wa huyu mhalifu, ni kumtumia huyo mtoto kutafuta sifa asizozistahili.

Siku alipoamua kuua vijana hiyo huruma ya uzazi aliipeleka wapi?
 
“atupe kwanza miili ya ndugu zetu aliyoificha tukazike ndio tutamuelewa” au “ afufue kwanza ndugu zetu alioua ndio tutamuelewa’
 
“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Wanaoua vijana wa kiTanzania wanajuwa wanalolifanya?

Badala ya kuwaua vijana lisingekuwa jambo jema angalau wakapigwa mabomu ya machozi na njia nyingi za kudhibiti vurugu?

Hao vijana hawakuwa na silaha yoyote, na wala hawakuwatishia polisi; lakini wakauliwa kikatili ili mradi tu Samia abaki madarakani kwa kuwatumia wahanga hao kama mfano wa kuwatishia waTanzania.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
Hana uhai mrefu wa kumtunza huyo mtoto; na hata kama ataishi maisha yake yatakuwa ndani ya jela akiwajibishwa kwa uhalifu mkubwa aliolisababishia taifa hili.
Mtu mwovu kama alivyo huyu mwanamke huwa hawana aibu hata wanapofanya maigizo yanayowasuta moja kwa moja kwa tabia zao za uovu.
 
Atafute watu sahihi wa karibu

Mwisho wa maigizo kama haya ni aibu, hivi hawana huruma nae kabisa kabisa.!?
 
Hivi haya maigizo ya samia yataenda hadi epsodes ngapi kabla hajaamua kutuachia ikulu yetu?!

Hizi sarakasi hazitatusahaulisha machungu ya kupotelewa ndg zetu oct29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…