Mhimize "akuasil"i haraka, maana siku zake zinahesabika huy!
Maadam humu huwa anaingia mwenyewe, basi hili, ataliona mwenyewe, kwa kukusaidia tuu, kuasili kunafanywa kwa watoto wadogo tuu, minors under the age of the majority!.

Ila ikitokea akapigwa zile T.3, natupa karata yangu, yale ndio mambo yangu na niliisha eleza humu Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hivyo fursa kama hiyo ikijitokeza, mimi kwangu ni shega tuu!, nawahi fasta kujaribu bahati yangu.
P
 
Kwahiyo huyu m1 ana thamani kuliko watu maelfu walio angamizwa tar 29/10?

Km huyu aliokotwa huko alikotupwa, basi na wale waliokufa 29/10 watupwe ili ndugu na wahusika wao wawaokote pia wakawahifadhi kadri ya taratibu zao.
HII SAS LEO IMESOMA VIZURI πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Au hii account imehakiwa..?
 
Jambo jema...

Lakini hatujatatua tatizo la kwa nini wamama wafikirie kutelekeza biumbe walivyovibeba tumboni kwa miezi takribani 9...

Tumbane kufanya RCA na kuondoa au kupunguza tatizo ili watoto wasiendelee kuwa mzigo na kuishia kutupwa...
 
Mwana habari na huna habari za kweli juu ya hii sanaa
 
Mwana habari na huna habari za kweli juu ya hii sanaa
 
Kuna uvumi huyo kichanga katoka Zenji...washkaji Nzega watujuza hakukuwa na tukio la kuokotwa ntoto pahala.
 
Habari inayoenea kutoka kwenye vyanzo, inasema hiyo ni fake......Mtoto huyo anatoka kwenye familia yake. Hata hivyo kama ni tofauti na hivyo, hicho kichanga baba yake aliuawa kwenye mauaji aliyotekeleza Samia. Aturudishie aliowaua ili tuwazike kama vile taratibu zinavyotaka. Hizo maiti ameziiba baada ya kuwaua, siyo mali yake. MUUAJI SAMIA anachofanya ni maigizo ya kipumbavu yasiyo na maana.
 
Mwana habari na huna habari za kweli juu ya hii sanaa
Paskali huwa anadanganyika mapema mno.......Itabidi ajifunze investigation journalism. Huyo mtoto aliokotwa na nani........ajue pia, watu wa Samia wanaweza kumuweka hapo halafu wakajifanya wameokota dhahabu. Waongo hao wote....Hilo li-SAMIA linajikomba komba, ili aonekane mzuri. Je kuna ulazima gani wa kuandika kwenye kurasa za mbele za magazeti, mara kampa mama Kanumba gari etc.......Hayo yote yana umuhimu gani? Asinunue haki yetu kwa umaskini wa watanzania hasa watanganyika hilo liuaji, muongo na mwenye madharau.
 
Watanzania kwa hili mama tumsifu lakini kwanini afanye kwa mmoja na wangapi wanatelekezwa ? Yeye kama Rais ana mpango gani na watoto kama huyo Grace Samia ?
Hao wengine wachukueni na nyinyi raia...mkuu nenda kituo cha watoto yatima omba mtoto unaetaka kumuadapti,watakupa! Ila shauriana kwanza na mumeo.
 
Hao wengine wachukueni na nyinyi raia...mkuu nenda kituo cha watoto yatima omba mtoto unaetaka kumuadapti,watakupa! Ila shauriana kwanza na mumeo.
Hivi wewe taahira mbona ni mrahisi sana kudanganyika, mwambie boyfriend wako akusaidie kufikiri fala wewe hawara ya Abdul Hafidh Ameir.
 
Huyo bichwa pasi hajui nafasi yake. Kama ana nia njema angeandaa mazingira mazuri kwa ajili ya watoto wote. Na si huyo mmoja wa kupiga naye picha!
Anyways, kwa jinsi roho yake ilivyombaya sitoshangaa yakimfika maovu!
 
Hili halitomsaidia chochote hadi atubu na kurejesha miili ya wapendwa wetu aliowaua MO29!
 
Wengi wanasema amehadaa umma aonekane ana roho nzuri?
 

Attachments

  • 20260312_151941.jpg
    172.6 KB · Views: 19
Yaani hii nchi imekaa kiswahili kweli, yaani hakuna kabisa namna ya kupima vinasaba (DNA) wakamfahamu mama wa huyo mtoto...!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Pascal, ingekuwa kupata thawabu saba mara sabini, na kupungziwa adhabu ni rahisi namna hiyo basi hata shetani ibilisi angekuwa ameshasamehewa na Mungu siku nyingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…