Sawa. Wapo watoto wangapi wa aina hi
 
Pascal, ingekuwa kupata thawabu saba mara sabini, na kupungziwa adhabu ni rahisi namna hiyo basi hata shetani ibilisi angekuwa ameshasamehewa na Mungu siku nyingi sana!
Take it from me, it's as simple as that. Shetani ni yeye mwenyewe tuu ndiye hataki msamaha ili aendeleze ligi!.

Kila mtenda wema atalipwa mema mara dufu ya wema wake, na kila mtenda maovu, atalipwa maovu mara dufu ya uovu wake!.

Ukitenda uovu, kisha ukajutia uovu huo, akatenda wema mkubwa kuliko ule uovu, huo wema, unafuta uovu wako wote na unabarikiwa!.

Hivyo ndivyo King David ilivyobarikiwa. Alimtamani mke wa Uria, akamuua Uria na kumtwaa mke wake, akamuoa kibabe!. Alifanya dhambi kubwa. Akaamua kumpenda Bersheeba kwa penzi shata shata na kumpa kila kitu ambacho Uria asingeweza, Mungu akambariki Daudi, Bersheeba akamzalia Suleiman.

Hata JPM, japo ni karma ilikula kichwa, by the time anatwaliwa, alikuwa ameisha lipa madeni yake yote ya matendo yake, hivyo alikwenda straight peponi na hivi sasa yuko peponi!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Huyu ni mtu wa SANAA, mwigizaji; ambaye kwa bahati mbaya sana katokea kuwa kwenye nafasi ya kufanya maigizo yanayowaumiza watu na kudidimiza taifa kwa ujumla.

Tanzania itajutia sana uwepo wa mtu huyu mwovu kabisa katika nafasi hiyo anayotumia kufanya maigizo yanayowaumiza watu.
 
Bahati mbaya tu kwako ni kuwa Samia Mhalifu hana muda tena wa kuendelea na uhalifu wake; vinginevyo ningekushauri njia nyepesi ya wewe kujionyesha kwake ili "akuasili".

Ulikosea toka mwanzo, njia nyepesi ilikuwa ni kupitia kwa mwalimu wako aliyekufunza tabia hizi za kilaghailaghai. Huyo mwalimu wako, Kibudu Kalamaganda, yeye zimemsaidia sana.

I'm done with waste of time with such crap!
 
Take it from me, it's as simple as that. Shetani ni yeye mwenyewe tuu ndiye hataki msamaha ili aendeleze ligi!.

Ukitenda uovu, kisha ukajutia uovu huo, akatenda wema mkubwa kuliko ule uovu, huo wema, unafuta uovu wako wote na unabarikiwa!.

P
Najua Mungu husamehe na kusahau yote yaliyopita, na hata kama ulitenda makosa yenye dhambi nyekundu kama damu, hukusamehe na kuwa na weupe kama wa theruji. Lakini hata siku moja msamaha wa Mungu sio wa kusema ufanye wema upande mmoja ili kufuta ubaya upande mwingine. Hivyo Samia asidhani for as long as ana huyu mtoto akilea, imesafisha dhambi za kuua 29 October, na inafidia yeye kuendelea kukandamiza upinzani na hata waandishi wa habari kama wewe, kuwafungulia mashitaka ya uongo watu kama Lissu, kuendelea kuteka na kuua nk. Wema aliofanya na kuendelea kumfanyia huyo mtoto haufuniki au kumkinga dhidi ya dhambi anazoendelea kutenda.

Kama ulivyosema, ili usamehewe kabisa, lazima ugeuke 180 degrees na kuwa mpya, sio kufikiri nikifanya tendo moja la wema basi litakuwa linani-cushion na dhambi ninazoendelea kufanya. Kuna watu wanajenga misikiti na kudhani for as long as watu wanasali kwenye huo msikiti dhambi yeyote anayofanya inakuwa na automatic forgiveness. Samia atakuwa anajidanganya sana kuwa na hii mentality.

Mtoza ushuru aliambiwa basi nenda kawarudishie mali zao wote uliowadhulumu. Samia ajiulize ni jinsi gani anaweza kuwarudishia aliowadhulumu. Huenda baba ya huyo mtoto aliemchukua aliuwawa tarehe 29 October 2025 kwa amri ya Samia ya shoot to kill, ndio maana mama yake akamtelekeza. Anajua huko mitaani kuna watoto wangapi wamepoteza baba zao au wategemezi wao kwa sababu yake?

Halafu, tofauti na David, ambaye alipoambiwa kosa lake alinyenyekea na kujutia, Samia anapoambiwa kosa lake anasemaje - mlitaka tutumie nguvu kiasi gani? Anasema who are you? Anasema kwanza wale hawakuwa Watanzania. Nani amesema Wakenya ni sawa kuwa-shoot to kill? Mungu anasamehe watu wa namna hiyo? Eti walitaka kunipindua. Who is Samia that she MUST be the president of Tanzania? Samia kuwa president ina justify vipi kuua watu zaidi ya 10,000? Kuepusha hilo kwanini asitumie hekima na kusema basi jamani, isiwe nongwa, mie najitoa?

Wewe Paskali, baba yako aliwajibishwa na Nyerere kwa principle ya vicarious liability, akakubali. How guilty was your father compared to Samia, kwa watu wale watatu tu sijui waliouwawa?

Unamkumbuka Abrahamu, katika kugombea sehemu za malisho dhidi ya ndugu yake Loti alisemaje - isiwe nongwa, mie nahama. Samia should have done the same ili apendwe na Mungu.

Na for your information Paskali - shetani hata akitubia kwa machozi ya damu - hawezi kusamehewa, kwa sababu alifanya alichofanya kwa makusudi. That should give Samia food for thought. Kuna dhambi ambayo hukumu ya Mungu ya kifo ni lazima -kama 1Yohana 5:16 inavyoonyesha.
 
Duh...Mkuu Sinte, Synthesizer, anzisha kanisa!.
P
 
Mazoea, mwepesi kushawishika.
 
Ukamwambie, ukisema, BWANA asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki? Nawe utamwambia, kusema, BWANA asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako, naam, damu yako.
 
Tengeneza tatizo, lepe utatuzi, uonekane shujaa.

Pumbavu kabisa huyu kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…