The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Unadhani Samia ni Mwendazake kwamba anatafuta cheap popularity na sifa za kijinga plus kulazimisha kupendwa?Huku mtaani jamaa anazungumziwa vibaya.
Na Rais naye bado ana mwamini.
Kwahiyo ni maneno ya watu mitaani ambao hao ndio wapiga kura dhidi ya imani ya Rais kwake.
Mwenye maamuzi ya mwisho ni mwenye mamlaka.
Anajua mwenyewe anafanya nini na serikali yake.
Hana huo ujinga na utoto kwa hiyo atakuwepo hapo hadi Rais atakavyoamua vinginevyo..
Chadomo walipiga kelele wewe kwa Mwigulu.lakini Rais akawapuuza.
Sasa wako kwa Makamba,Siku tuu Rais atatoka hadharani na kuwazima kama alivyofanyaga Mwendazake kwa Makonda akiwa RC .