Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.
Yale magenge ya wafanyabishara yamerudi, yana dictate business of the day, na yule kijana wenu yupoyupo tu.
Hivi Mh. Kalemani alowakosea nini hadi mkamtoa pale? Ni mtu simple asiye na ndoto kubwa za kushika madaraka makubwa, he was really good at his job!
Ona sasa tulipo, umeme majanga, JNHPP inachechemea, mafuta ndio usiguse, vita ya 'yukrein' my foot.
Turudishieni Chato boy pale, anaiweza mikiki mikiki ya wazara, sio huyo kijana wenu bingwa wa mabao ya mikono.