KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Lakini Magufuli huyo huyo akaona Makonda na Sabaya wanafaa.MAGUFULI hakuwa Mpumbavu kumpa Makamba Uwaziri wa Mazingira na kisha KUMNG'OA na kumdukua alimjua kuwa HAFAI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Magufuli huyo huyo akaona Makonda na Sabaya wanafaa.MAGUFULI hakuwa Mpumbavu kumpa Makamba Uwaziri wa Mazingira na kisha KUMNG'OA na kumdukua alimjua kuwa HAFAI
Nimemwacha anpiga tungi, me nimejiondokea!January nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
January ni Makonda aliyechangamkaJanuary nahisi nyota yake ina giza sana!

Tangu umeanza kusema January hujachoka tuu huu uzi wa 7 sasaJanuary nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
Alimngoa kwa sababu gani?MAGUFULI hakuwa Mpumbavu kumpa Makamba Uwaziri wa Mazingira na kisha KUMNG'OA na kumdukua alimjua kuwa HAFAI
Kwani kuna umeme pale? Kakata ulajiJanuari kakata mirija au kakata umeme kwa mkandarasi wa jnhpp na kusababisha deni la billion 18? Hilo deni atalilipa yeye na maharage wake? Huko ni kumhujumu rais SSH wazi wazi. Hivi nyie watu akili mmeziwekeza kwa nani?
Usichokijua ni kwamba aliwekwa hapo makusud ili aharibu na kwel yametimia.. hyo wizara kama si mwamba inakua mzigo.. ni ngum hyo wizara na ina posho sana na rushwa hyo wizara ila lazima uchafuke.. so bwa mdogo aliwekwa hapo makusud aharib ili asiwe kizingit kwenye mbio na medan za urais nchini.. wamemuweza kwelkwelJanuary nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
Walikuwa wanafanya kazi kwa kutumia nini?Kwani kuna umeme pale? Kakata ulaji
Kachelewa kuondoa matumizi ya mifuko ya plastic, inayoharibu mazingira baada tuu ya kusainiwa ban ya matumizi ya hiyi mifukoAlimngoa kwa sababu gani?
Hiv wee jamaa huonag aibu.. kushangilia na kupiga makofi na kusifia kila uchwao.. hiv umeumbwa kwa kuwa na shobo tuu.. hiv wazaz wako waliokusomesha wanajua mtoto wao kawa mpiga mapambio na chawa kias hki.. kila kitu unateteaga as if ni kitengo maalum cha kumumba cha kaz ya kusifia na kupiga makof kila siku.. hiv na hal hii ya uchumi roho haikusuti shekhe.. kama kusifia na kutetea ushafanya sana.. hebu tumia common sense hata mara1 1Kwani bila uwaziri hawezi kuishi?
Acheni kumsakama kupita kiasi.
Suzy Elias:January nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
Kama KitwangaJanuary nahisi nyota yake ina giza sana!

Sukuma gang unateseka bure!Hiv wee jamaa huonag aibu.. kushangilia na kupiga makofi na kusifia kila uchwao.. hiv umeumbwa kwa kuwa na shobo tuu.. hiv wazaz wako waliokusomesha wanajua mtoto wao kawa mpiga mapambio na chawa kias hki.. kila kitu unateteaga as if ni kitengo maalum cha kumumba cha kaz ya kusifia na kupiga makof kila siku.. hiv na hal hii ya uchumi roho haikusuti shekhe.. kama kusifia na kutetea ushafanya sana.. hebu tumia common sense hata mara1 1
Kipigo kipo palepaleMtaa upi? Bujumbura au Chato?