Acheni chuki kwa Makamba. Makamba piga kazi usisikilize watu kama hawa waliotemeshwa ulaji hapo wizara ya nishati.
Yule anaweza kuiba kura tu. Sio mtendaji na hasa Kwa wizara nyeti Kama ya nishati. Na pengine ni wale wahuni mwendazake aliowasema wanafungulia maji ili kuuza majenereta na kupata pesa za kampeni 2025.
Haiwezekani umeme usikatike hovyo Kwa miaka mitano mfulukizo alafu ghafla unaanza kukatika hovyo na sababu ni maintenance.alafu anasema apewe miaka minne. YA NINI?