The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Unadhani Samia ni Mwendazake kwamba anatafuta cheap popularity na sifa za kijinga plus kulazimisha kupendwa?Huku mtaani jamaa anazungumziwa vibaya.
Na Rais naye bado ana mwamini.
Kwahiyo ni maneno ya watu mitaani ambao hao ndio wapiga kura dhidi ya imani ya Rais kwake.
Mwenye maamuzi ya mwisho ni mwenye mamlaka.
Anajua mwenyewe anafanya nini na serikali yake.
Wewe mwenye jipya weka majawabu sio kuropoka tuu.Kikubwa wananchi tuelekezwe hilo SOKO LA DUNIA lilipo tukaemee wenyewe bidhaa maana yawezekana serikali haiwezi kubargain.
Makamba ni baadhi ya matokeo mabaya ya wasomi vijana tulionao anayeamini ni smart kichwani kumbe hana jipya.
Endelea kusubiri dodo chini ya muarobaini!Nasisistiza, hawezi kumfuta uwaziri. January yuko pale kwa maelekezo ya bosi wa Samia na kwa malengo maalum. So Samia hawezi kumfuta uwaziri January. Akijutahidi sana, atambadilisha wizara
Hapo kimara.Mtaa upi? Bujumbura au Chato?
Watanzania kuzungumzia Ni kitu cha kawaida. Tumeumbwa hivyo.Huku mtaani jamaa anazungumziwa vibaya.
Na Rais naye bado ana mwamini.
Kwahiyo ni maneno ya watu mitaani ambao hao ndio wapiga kura dhidi ya imani ya Rais kwake.
Mwenye maamuzi ya mwisho ni mwenye mamlaka.
Anajua mwenyewe anafanya nini na serikali yake.
Hayo ni mawazo ya watawala kuwa watanzania wapo hivyo siku zote nothing special and serious.Watanzania kuzungumzia Ni kitu cha kawaida. Tumeumbwa hivyo.
Leo nilipita mitaani huku Rombo, imagine nimekutana na Kijiwe Cha wazee wanaongea kwamba Prof Mkenda alimwambia Rais Samia kuea yeye msimamo wake kuhusu kuagiza sukari uko pale pale, kama ni uwaziri amfute ili akafanye shughuli zake.
In short, wabongo wengi wanapenda kupiga domo siku ipite. Nothing special and serious.
Ni watu ambao hawajui kipi Ni sahihi na kipi Ni propaganda.
MAGUFULI hakuwa Mpumbavu kumpa Makamba Uwaziri wa Mazingira na kisha KUMNG'OA na kumdukua alimjua kuwa HAFAIJanuary nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
Huyo hatoki kwenye baraza sanasana atambadilisha wizaraJanuary nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
Mimi siyo MTAWALA na Wala siko kwenye cycle ya kisiasa.Hayo ni mawazo ya watawala kuwa watanzania wapo hivyo siku zote nothing special and serious.
This will cost them some days to come.
Dah . sorry mkuu ila una IQ ndogo sana boss.Mimi siyo MTAWALA na Wala siko kwenye cycle ya kisiasa.
Ninachozungumza ndivyo kilivyo. In short wabongo Ni watu wenye uwezo wa kukipambania wenyewe.
Hata siku moja usifikiri Mbongo Mbongo ataandamana kwasababu ya mwanasiasa fulani.
Hata Samia akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna mtanzania ataandamana. Jua Hilo.
Kitu pekee ambacho kinaweza kuleta maanadamano Ni kutolipa mishahara, kuwapora wafabiashara masoko yao, kuingilia Mambo ya imani za watu na mengine Kama hayo.
Kuhusu siasa wabongo Ni mabingwa sana wa USHABIKI lakini usitegemee Kama wanachukua Ni kitu serious sana.
Magufuli alishakufa wewe Taahira. Naona kama.umeshindwa kabisa KUZOEA kwa akili yako ya bata.Dah . sorry mkuu ila una IQ ndogo sana boss.
Boost your IQ.
Bwashee, yani hivyo tu wewe unaona tumemsakama kupita kiasi? Hiyo kupita kiasi (yatakapoingia na matusi) ndo utasemaje sasa?Acheni kumsakama kupita kiasi.
Nilikua sahihi kabisa.Magufuli alishakufa wewe Taahira. Naona kama.umeshindwa kabisa KUZOEA kwa akili yako ya bata.
View attachment 2180945
Januari kakata mirija au kakata umeme kwa mkandarasi wa jnhpp na kusababisha deni la billion 18? Hilo deni atalilipa yeye na maharage wake? Huko ni kumhujumu rais SSH wazi wazi. Hivi nyie watu akili mmeziwekeza kwa nani?Hawa ni kuwaangalia na kuwaambia heee ba ngosha vipi? Ujue pale Tanesco na Sgr ni miradi ya upigaji ya sukuma gang kwa hiyo January kakata ulaji kwenye Bwawa ndio maana unaona kelele..
Pili bado Kwa Kadogosa,kuwadi wa Yapi Merkez
Huna akili. Narudia tena Magufuli alishakufaNilikua sahihi kabisa.
Yaani IQ ndogo ukijumlisha na bangi basi matokeo yake ndio kama haya.
Huwezi ukawa na akili timamu ukasupport majizi. Haiwezekani.
Makamba jr hatoki kwa kuwa aliyemuingiza anayo remote control mfukoni.Kwani bila uwaziri hawezi kuishi?
Acheni kumsakama kupita kiasi.