Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

Kama ndivyo huo mtego yeye hakuunusa?.
 
Hata Samia akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna mtanzania ataandamana. Jua Hilo.
Hawezi kujaribu kukaa milele kwa sababu eti Watanzania hawawezi kumfanya lolote

Waliojaribu kumpoteza Nyerere mara tatu, 1964, 1968, na 1982, walikuwa Wa Kongomeni ?

Tena war president, ana vikosi vya ukombozi nusu ya Afrika, chama kimoja, fikra za kudumishwa ni za mtu mmoja tu, na watu bado hawakukubali.

Haya!
 
Umesharudi toka Rwanda?

Yaani Samia amfute Uwaziri January kwa sababu ya nyie wapuuzi wachache gang ya Waburundi na Wanyarwanda?
Rwanda ulimpeleka weye.?

Hatutaki waziri muongo muongo Mara Sjui mitambo inakarabatiwa wiki mbili, na sasa ni miezi lkn kukatika kwa umeme uko paleale
 
Umesharudi toka Rwanda?

Yaani Samia amfute Uwaziri January kwa sababu ya nyie wapuuzi wachache gang ya Waburundi na Wanyarwanda?
Kuna shida kubwa sana ya uzalendo hapa nchini....hata mimi napaswa kubadilika.

Sasa ninyi mkiwa kwenye mrija au bakuli la keki ya taifa...kila anayewakosoa mnamuona mjinga na hamnazo.

Kukoselewa kutabakia pale pale, na kwa sasa jamii ya watanzania imebadilika...tutahoji tu na mwisho wa siku tutashinda
 
Kwani waliopindua Marais karibu 7 wa Uganda huku Obotte akipinduliwa Mara mbili wameshindwa Nini kumpindua Museven kwa miaka zaidi ya 27 sasa?
 
ccm wamegeuza hii nchi ni ya kifalme kurisishana madaraka babu mpaka mjukuu. inasemekana watanzania wengi ni km mazombe hawaelewi nn bora kwao na nn njema.
 
Kwenye ubunge?
 
Atamhamisha wizara tu, kila rais Huwa na wazir wake mpendwa. Umesahau kipndi Cha J.k. tulikiwa na wazir ambaye watu walikuwa hawamwelewi Shukuru kawambwa Huyu nadhan alikuwa na udugu na J.K alibebwa Miaka yote kumi
 
makamba anafanya kwa niaba au kwa maelekezo sema ana kiranja utopolo ndiomana hamuelewi, Makamba hajifanyii endeleeni kuumia tatizo ni Bibi Mtozo
 
January anabebwa na mafisadi + udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…