Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kiukweli humu jf, tuko wengi, na wengine wetu sio wazima!. Aliyeelewa hapa naomba anieleweshe!.Mwambie falao nimeokoka sitokwnda misir naenda na Yessuuuuuu ukimaliza kusoma imba kapambio hako ni zawadi kwako msomaji wa maandiko yangu
Yaani...kwa ufupi inaonekana siyo habari mbaya kama tulivyoaminishwa.
“Tulivyoaminishwa” na nani/ nini?Yaani...kwa ufupi inaonekana siyo habari mbaya kama tulivyoaminishwa...
Wanatuhumiwa na nani ?Tatizo mama alishampa mmoja wa watuhumiwa madaraka makubwa ambayo imekuwa mtihani mkubwa kwake kufanya maamuzi magumu dhidi ya muhusika. anyway tuende hivyohivyo
Dogo hebu wahi twisheni kajifunze kuandikaIMEISHA TOKA HIYO,Mh Rais kapokea Ripoti kimnya kimnya, aliyoagiza ufanyike ukaguzi hapo Benki Kuu kutoka mwezi wa Tatu mpk wa tano.
Maelekezo haya aliyatoa hadharani ila ripoti kaipokea kimnyakimnya,weee waliopo karbu wanadai kuna kijamaa kimoja ndo kilimpa TANGO poli mama paspo kufiri fasta akatuma wakaguzi...
Inawezekana Mfugale kwa kuwa hataweza tena kujitetea kwa hiyo hakukuwa na namna wamembebesha mzigoKakonko kesi yake imefikia wapi?
Mfugale kafa yeye duh hakuna kesi
Yaani huyu kafa kwa sababu fulani
Sawa bwana Taifa la malofa na wajinga!!
Una uelewa au unasukumwa ti na hisia? Hivi hujaona hapo waliposema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile? Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yoteTatizo ni kwamba tunatengenezewa stori halafu tunahitaji kwa matarajio makubwa kuziona hizo stori zinakuwa kweli...
Magumashi hiyo.Kekundu kekundu...🎶🎺 nahisi Harufu ya MAGUMASHI...
Imemsafisha tayari SAIDO NTIBANZOKIZA🤣🤣🤣🙂🙂
Naweza kuwa naongea na taahira. Soma tena nilichoandikaUna uelewa au unasukumwa ti na hisia? Hivi hujaona hapo waliposema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile? Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote
Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
Tatizo akili zenu wote mmempa kigogo awashikie!Wote ji wanaCCM. Subirini siku Sabaya atakapoachiwa kwa maelezo kuwa makosa yake siyo ya kijinai bali ni ya kiutawala na kiutendaji. Mwajiri ekwishamchukulia hatua ya kumsimamisha kazo...
Acha kubwabwaja soma kiambatisho bila kukurupukaShujaa na mzalendo namba moja hakuona haya!
Utashangaa si Waziri wa Fedha wa wakati huo(Dr. Mpango) wala Katibu Mkuu wa Hazina wakati huo(Mtoto wa Dada) anaewajibika kwa kujiuzulu au kuwajibishwa na Mamlaka ya Juu yaani Rais...
Wamekwambia ni sh ngapi?Una uelewa au unasukumwa ti na hisia? Hivi hujaona hapo waliposema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile? Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote
tuliambiwa na kigogo na wanaharakati kuwa mabillion yamechotwa Hazina na Bashiru hahahaha“Tulivyoaminishwa” na nani/ nini?
Hakuna taarifa hapo na imekosa tension kwakuwa watu wanakosa majina ya Bashiru na Dotto na hawaoni sehemu ambapo watashikwaSasa mbona taarifa haina exact figure?
Hizo pesa zilizotoka ni shilingi ngapi?
Hii Taarifa nyepesi sana haina substance