Nani kamtaja Bashiru hapa?Tatizo akili zenu wote mmempa kigogo awashikie!
Kwahiyo huko chadema mlimuamini kigogo kwamba Bashiru na Mpango wamekwapua hela?
Lazima zimepigwa. Hasa hapo kwenye ucheleweshaji miradi, malipo mara mbili na miradi isikuwepo kwenye bajeti ..... Naona imegusa sehemu mbili tu, Bandari na TANROAD ...... No wonder Mfugale kondoka, labda walimtonya .... akaingiwa woga!!Haka kauzi ni kama kameficha BIG PICTURE kanazungumzia miraji ya nje ya bajeti tu.
Hakuna matumizi hewa kweli??
Hakuna ukwapuaji?
Ngoja iwekwe wazi tutajua SSH hafichagi kitu
Hakuna ufisadi wwte mnazidi kuumbuka....Tatizo mama alishampa mmoja wa watuhumiwa madaraka makubwa ambayo imekuwa mtihani mkubwa kwake kufanya maamuzi magumu dhidi ya muhusika. anyway tuende hivyohivyo
Hivi ndio mara zote mnavyokuwa enyi wananchi wa kawaida.Sisi wananchi wa kawaida tutaiaminije hiyo report? Tume haikuwa huru...
CCM kuwaamini inahitaji maji ya baraka.
Bunge la South Africa unalifahamu lkn?Wakiaambiwa bunge ni dhaifu Wana mind Kama Nini afu ni mabunge ya Africa yote yako dhaifu.wao ni kugonga meza na kusubiria posho ringtone muamala ulie kwa simu zao
Lifanywe mchana kweupe ili iweje sasa?? Hivi hujui kuna Corona???Tangu lini tukio kama hili linakuwa la kimyakimya na wakati liliagizwa mchana kweupe, Inakuwaje mrejesho wake usifanyike mchana vilevile?
Sentensi haina muunganiko pia haileti maana.....Kiukweli humu jf, tuko wengi, na wengine wetu
Kiukweli humu jf, tuko wengi, na wengine wetu sio wazima!. Aliyeelewa hapa naomba anieleweshe!.
P
Hivi ndio mara zote mnavyokuwa enyi wananchi wa kawaida.
Wakati watu wanafanya mikakati ya uchaguzi ujao nyinyi mnasaini petition ya diamond plutnumz.
mama D njoo uone maajabu huku.
Jiongeze ww....Nani kamtaja Bashiru hapa?
Report inasema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile. Wewe umesikia kwenye report, ni nani alifanya hayo malipo? Umesikia ni nani hao waliolipwa mara 2? Kwa nini, wote wamefichwa?
Kwa hiyo malipo kufanyika mara mbili mbili ni sahihi mkuu?Yaani...kwa ufupi inaonekana siyo habari mbaya kama tulivyoaminishwa...
Report ni whitewash!Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
Halafu ndio wanataka wapewe nchi waongoze.Hawa watu buanaπ€π€π€
Sijui wanafikiriaga nini hakiππππ
Kwa hiyo report ilimfikia mfugale pressure ikapanda?Kakonko kesi yake imefikia wapi?
Mfugale kafa yeye duh hakuna kesi
Yaani huyu kafa kwa sababu fulani
Sawa bwana Taifa la malofa na wajinga!!
Utakuwa mnufaika wa CCMKtk vyama vipya vilivyopo hakuna hata kimoja chenye uhalali Wa kushika dola,yote majizi tu kama waliopo
Kosa au ulikua ni mpango mkakati?Alifanya kosa la kiufundi kumteua kabla hajatoa tamko la uchunguzi wa Fedha.
Mtoto kula mchuzi, nyama za wakubwa.Jazia nyama basi, huu mtori wako ni uji mtupu