Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Ka shule za sekondari nafasi ni Moja Moja tu, na mpaka Sasa nilikoomba Mimi tayari nafsi Moja tupo watu 30 ya chini ni 15. Mpaka tarehe 25 huenda nafasi Moja ikawa watu 80/90
Hzo nafasi. Zisikuchanganye azinaga hualisia autoamini macho yako somo uliloomba kwenye shule x ajapelekwa hata mmoja Mungu tu omba
 
Wafanye hivyo kwa sekta zingine teena siyo kuwapa mseleleko maticha na madokta.
 
Tukumbushane: walisema kuwa kama umefaulu interview na nafasi zikawa chache, ikitokea nafasi mliokuwa mmefaulu na hamkuchukuliwa mnatake position automatically... eg pass mark ni 70, mmefaulu 10 lkn wanaotakiwa ni 5, then this time hao watano wanachukuliwa
 
Sawa
 
Sawa
 
Namshukuru Mungu nimeajiriwa na Ngo na maisha yanaenda sasa, mshahara wa huko ni mdogo saana japo nilikua na upigania ila kuna kaumasikini huko kwa walimu, ngo niliyopo inahusiana na maswala ya elimu napita huko vijijini naona
NGO ipi ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…