Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Mkuu Tanzania population inaongezeka kwa kasi Sana hata wangetoa ajira laki moja bado tatizo litaendelea ku-exist
 
mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Hii naiunga mkono na wale wapewao huduma ndio waamue kuwa mtu wao waendelee naye ama apishe. Nawaza na ubunge ingekuwa mpaka unastaafu.
Yaani iwepo website ambayo watu wanatoa ya kwao ya moyoni kuwa mie fulani ana hudumia sivyo
 
Nadhani Tanzania hatujafika huko bado ,kwanza Mimi naona swala la Ajira liendelee kwa mtindo na Serikali itengeneze fursa katika sekta mbalimbali , kuanza kuona Ajira ya ualimu au u nurse ni Jambo la muhimu sababu kuu nikutokana na watu kuwa hawana mbadla wa Ajira

Hivyo ground ikiwa balanced Hakuna Mtu ataenda kuomba hizo Ajira za laki nne kwa mwezi za ualimu
 
Pole omba mwaka huu utanikumbuKa mungu akatende miracle juu yako amen
 
Mkuu Tanzania population inaongezeka kwa kasi Sana hata wangetoa ajira laki moja bado tatizo litaendelea ku-exist
Bado tuko wachache twatakiwa tuongezeke zaidi tufike angalau milioni 80 kabla ya 2030
 
Tutaomba sawa.
Shughuli ni kupata.
Ila afadhali huyu anaajiri hata kama kuna kukosa mana sio wote lazima tupate.
Kila la kheri kwa waombaji nafasi zitakapotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…