Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Ajira Zimekuja Kuelekea Mei Mosi
Tutabeba Mabango Kumpongeza Sana, Na Wasiotaka Watupishe
Baadaye Tunanung'unika Tena Hatujui Tunataka Nini
 
Utasikia KISWAHILI ni πŸ˜ƒ lugha na tunu ya taifa letu tukufuπŸ˜‚
 
Sas hata akiingia kwny mfumo masomo aliyosomea hayupo au we huelew ndgu? W2 tushapanik tyr wew unasema nin tna
Kwenye mfumo hayo masomo yapo ngoja nkupe kisa kimoja nafikir mwaka jana kama kumbukumbu zangu zipo sawa hile barua ilitaka wale wasanifu mahabara waombe kazi lakini ukija kwenye mfumo aukuwakubali tulipiga simu tamisemi kuomba ufafanuzi wakasema usiangalie barua inasemaje angalia mfumo upoje so nakushauri ndugu no retreat no surrender log in kea mfumo omba kazi history hipo geog hipo ingia acha kupani omba ndugu
 
Mimi nimeingia masomo yangu history na kiswahili yapo na nafasi zipo
 
Mpwayungu Village njoo huko uombe ajira za ualimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…