Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Huko uliko, naamini umesoma tweet ya Lema na tunatarajia utatoa majibu ya kuridhisha kama huhusiki.Tofauti na hapo, tukuulize umejipangaje kukabili hizo tuhuma?

Sitaki kuamini Lema amekurupuka, bali naamini atakuwa na taarifa fulani kuhusiana na alichosema.

Kazi kwako.
 
Kwani Lema kasemaje?

Isije ikawa ametabiri yale ya Mwendazake na Sabaya...

Maana furaha itazidi kuongezeka mpaka iwe kero sasa
 
Mkuu hebu ibandike hapa hiyo tweet tujiridhishe
 
Aliyekuleta duniani ni Moron na Mental kuliko Mimi na nahisi atakuwa amekurithisha nawe pia.
Kwa hiyo wewe unakubali ni "Moron na Mental"?

Huyo aliyenileta duniani humjui na wala hujibishani naye, utajuaje kuwa ni 'moron na mental' kama wewew?
 
Yuko mwanza kwenye mchongo wake wa kanisa

Ova
 
Ni mabadilishano tu ya kawaida kamanda, wewe unakaa golini yeye anashuti na baadae yeye anakaa golini wewe unashuti ni hivyo tu basi.
 
Kwa hiyo wewe unakubali ni "Moron na Mental"?

Huyo aliyenileta duniani humjui na wala hujibishani naye, utajuaje kuwa ni 'moron na mental' kama wewew?
Bado uko na Mimi tu Wewe Hayawani?
 
Bukyanagandi kama unamshabikia Makonda kwa namna hiyo unastahili kupita Mirembe. Kama Mensa wana mwanachama mwenye IQ ambayo haijui kuwa Makonda alikuwa muuaji na dhulumati, basi Mensa ya misukule siku hizi
 
Thubutu yake
 
Tumesha sahau kuhusu maendeleo na kutatua kero za wananchi..............................wacha tuendelee kwanza kuchonga na kutengeneza majungu na fitina....
bandika....... bandua....... ...............tukija kushituka 2025 hiii hapa!!!

sisi wananchi hatutokuwa na msamaha kwa yeyote yule aliye chezea na kupoteza muda wa maendeleo ya wanchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…