Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Huko uliko, naamini umesoma tweet ya Lema na tunatarajia utatoa majibu ya kuridhisha kama huhusiki.Tofauti na hapo, tukuulize umejipangaje kukabili hizo tuhuma?

Sitaki kuamini Lema amekurupuka, bali naamini atakuwa na taarifa fulani kuhusiana na alichosema.

Kazi kwako.
 
Kwani Lema kasemaje?

Isije ikawa ametabiri yale ya Mwendazake na Sabaya...

Maana furaha itazidi kuongezeka mpaka iwe kero sasa
 
Huko uliko, naamini umesoma tweet ya Lema na tunatarajia utatoa majibu ya kuridhisha kama huhusiki.Tofauti na hapo, tukuulize umejipangaje kukabili hizo tuhuma?

Sitaki kuamini Lema amekurupuka, bali naamini atakuwa na taarifa fulani kuhusiana na alichosema.

Kazi kwako.
Mkuu hebu ibandike hapa hiyo tweet tujiridhishe
 
Aliyekuleta duniani ni Moron na Mental kuliko Mimi na nahisi atakuwa amekurithisha nawe pia.
Kwa hiyo wewe unakubali ni "Moron na Mental"?

Huyo aliyenileta duniani humjui na wala hujibishani naye, utajuaje kuwa ni 'moron na mental' kama wewew?
 
Yuko mwanza kwenye mchongo wake wa kanisa

Ova
 
Kubwa la maadui "Hon Paul Makonda" tumbo la kuharisha limemshika huko alipo.

Eid hii kuna watu watailia Mzena Hospital na drip za glucose mikononi ku stabilize BP.

Hawa viongozi waliopewa nyadhifa kutuongoza walitufanya tuishi kama tumbili ndani ya nchi yetu, unaamka asubuhi unasali kwa dini zote ili usiingie kwenye mikono yao ukapotezwa, sasa muda wao kuishi kama ngedele mamaqxe.
Ni mabadilishano tu ya kawaida kamanda, wewe unakaa golini yeye anashuti na baadae yeye anakaa golini wewe unashuti ni hivyo tu basi.
 
Kwa hiyo wewe unakubali ni "Moron na Mental"?

Huyo aliyenileta duniani humjui na wala hujibishani naye, utajuaje kuwa ni 'moron na mental' kama wewew?
Bado uko na Mimi tu Wewe Hayawani?
 
Wewe uwewahi hata siku moja ku undergo scientific IQ test au unajisemea tu kwa kuwa uliwahi kusikia watu wanazungumzia nasuala ya IQ, kwa taarifa yako mimi ni member wa MENSA najuwa kisayansi IQ yangu ni ya kiwango gani.

Reading between the lines ni wazi IQ yako ni dismal kabisa ndio maana badala ya kujenga hoja unaleta mipasho ya taarabu kama ya Khadja Kopa. Mtu wa barabarani utajuaje confidential file la TISS kuhusu Makonda kujitia ujuaji mwingii. Please revisit your skewed comments ni wazi unakuwa driven vile vile na rabid hatred kuhusu Makonda, kuwa mkweli hapa, je, aliwahi kukutimua kazi au kukudhurumu mali zako?
Bukyanagandi kama unamshabikia Makonda kwa namna hiyo unastahili kupita Mirembe. Kama Mensa wana mwanachama mwenye IQ ambayo haijui kuwa Makonda alikuwa muuaji na dhulumati, basi Mensa ya misukule siku hizi
 
Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.

Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.

Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Thubutu yake
 
Tumesha sahau kuhusu maendeleo na kutatua kero za wananchi..............................wacha tuendelee kwanza kuchonga na kutengeneza majungu na fitina....
bandika....... bandua....... ...............tukija kushituka 2025 hiii hapa!!!

sisi wananchi hatutokuwa na msamaha kwa yeyote yule aliye chezea na kupoteza muda wa maendeleo ya wanchi.
 
Back
Top Bottom