MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #221
Ujinga na Upumbavu si ni Sifa zako au?Wakati mwingine mtu mjinga na mpumbavu akinyamaza huonekana mwenye hekima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga na Upumbavu si ni Sifa zako au?Wakati mwingine mtu mjinga na mpumbavu akinyamaza huonekana mwenye hekima
Kwani Lema kasemaje?Huko uliko, naamini umesoma tweet ya Lema na tunatarajia utatoa majibu ya kuridhisha kama huhusiki.Tofauti na hapo, tukuulize umejipangaje kukabili hizo tuhuma?
Sitaki kuamini Lema amekurupuka, bali naamini atakuwa na taarifa fulani kuhusiana na alichosema.
Kazi kwako.
Mkuu hebu ibandike hapa hiyo tweet tujiridhisheHuko uliko, naamini umesoma tweet ya Lema na tunatarajia utatoa majibu ya kuridhisha kama huhusiki.Tofauti na hapo, tukuulize umejipangaje kukabili hizo tuhuma?
Sitaki kuamini Lema amekurupuka, bali naamini atakuwa na taarifa fulani kuhusiana na alichosema.
Kazi kwako.
Kwani Lema kasemaje?
Isije ikawa ametabiri yale ya Mwendazake na Sabaya...
Maana furaha itazidi kuongezeka mpaka iwe kero sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani Lema kasemaje?
Isije ikawa ametabiri yale ya Mwendazake na Sabaya...
Maana furaha itazidi kuongezeka mpaka iwe kero sasa
Kwa hiyo wewe unakubali ni "Moron na Mental"?Aliyekuleta duniani ni Moron na Mental kuliko Mimi na nahisi atakuwa amekurithisha nawe pia.
Ni mabadilishano tu ya kawaida kamanda, wewe unakaa golini yeye anashuti na baadae yeye anakaa golini wewe unashuti ni hivyo tu basi.Kubwa la maadui "Hon Paul Makonda" tumbo la kuharisha limemshika huko alipo.
Eid hii kuna watu watailia Mzena Hospital na drip za glucose mikononi ku stabilize BP.
Hawa viongozi waliopewa nyadhifa kutuongoza walitufanya tuishi kama tumbili ndani ya nchi yetu, unaamka asubuhi unasali kwa dini zote ili usiingie kwenye mikono yao ukapotezwa, sasa muda wao kuishi kama ngedele mamaqxe.
Bado uko na Mimi tu Wewe Hayawani?Kwa hiyo wewe unakubali ni "Moron na Mental"?
Huyo aliyenileta duniani humjui na wala hujibishani naye, utajuaje kuwa ni 'moron na mental' kama wewew?
Unaniuliza mimi tenaUjinga na Upumbavu si ni Sifa zako au?
Bukyanagandi kama unamshabikia Makonda kwa namna hiyo unastahili kupita Mirembe. Kama Mensa wana mwanachama mwenye IQ ambayo haijui kuwa Makonda alikuwa muuaji na dhulumati, basi Mensa ya misukule siku hiziWewe uwewahi hata siku moja ku undergo scientific IQ test au unajisemea tu kwa kuwa uliwahi kusikia watu wanazungumzia nasuala ya IQ, kwa taarifa yako mimi ni member wa MENSA najuwa kisayansi IQ yangu ni ya kiwango gani.
Reading between the lines ni wazi IQ yako ni dismal kabisa ndio maana badala ya kujenga hoja unaleta mipasho ya taarabu kama ya Khadja Kopa. Mtu wa barabarani utajuaje confidential file la TISS kuhusu Makonda kujitia ujuaji mwingii. Please revisit your skewed comments ni wazi unakuwa driven vile vile na rabid hatred kuhusu Makonda, kuwa mkweli hapa, je, aliwahi kukutimua kazi au kukudhurumu mali zako?
Mungu anaipenda Tanzania sana. Imagine angepewa afya kama Yoweri Museveni au Robert Muhabe, sijui tungekuwa nchi ya namna gani??halafu anakuja mtu anakwambia Magu alikuwa rais bora. Rais bora anaacha wateule wake wanavamia media na mitutu? Mungu ametuokoa na Dikteta
Thubutu yakeKwangu mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Walijua mwendazake ataishi mileleSabaya alikuwa anawaambia wafanyabiashara anachokifanya wakiamua wakiite "makonda style" hawa vijana walikuwa wamejipanga, mda wao umefika