Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Mwendazake aliwajaza ujinga sana hawa vijana - wachezee mvua tu ili iwe fundisho!! Nchi hii ilikuwa inatawaliwa kihuni huni tu.
 
Hukumu zimfaazo tu Bwana Yako huyu ( huyo ) ni Mbili tu ama afungwe Maisha Jela au Anyongwe kabisa je, Wewe ' Mamsampu ' unamchagulia ipi kati ya hizi?
Genta cha kushangaza kama makonda allikukala bila malipo mpeleke mahakamani na sio kutaka mamlaka zingine zimchukulie hatua
Vinginevyo kaa kimya
Huwezi chonganisha makonda na viongozi wa nchi.
Siku akitoa hoja usiyoipenda njoo umjibu, vinginevyo dua lako litabaki bule tu.

Na ipo siku utampa heshima iwe kwa uwazi au kwa kimyakimya.
 
Katika wale hooligans 12 aliokuwa anatembea nao Ole Sabaya na kufanya nao uporaji, 10 kati yao wameishakamatwa na wapo ndani central police Arusha. Bado wawili. Na katika kosa alifanya Sabaya ni kumpiga vibaya sana na kumdhalilisha mheshimiwa Diwani Bakari Msangi wa Sombetini. Yule ni mpare, na mpare by nature huwa hadhulumiwi haki yake wala kuonewa. Katika tukio lile ambalo Sabaya alivamia lile duka la mapazia Arusha na kupora pesa, alikuwa ana kijana wake amemshikia wine bwana mkubwa, anakunywa huku anatoa amri na kutekeleza unyama wake. Kuna mfanyakazi mmoja walile duka, alipigwa mpaka akanya mavi..kwahili Sabaya hakika utalipa!
 
Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii afungweeeee afungweeeee afungweeeee afungweeeee afungweeeee afungweeeee afungweeeee afungweeeee afungweeeee

Muhuni huyo muhuni huyo muhuni huyo muhuni huyo muhuni huyo muhuni huyo

Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii
 
Aliwabambikizia kesi watu mbali mbali kina wema sepetu wale, idrisa sijuwi madawa ya kulevya na kupima watu mikojo nadhan Makonda akamatwe aeleze yale makundi ya watu wasiojulikana ni kina nani, mpaka mbowe aliitwa
 
makonda ni jambazi mwingine, amewapora sana watu fedha zao!
Kumbukeni pia ile lugha ya 'kudhulumu maisha ya watu' huyu mtu alitakiwa muda huu awe ndani kujibu tuhuma mbalimbali.
Ni mwizi, jambazi, mporaji na 'katili kwa maisha ya watu'
 
Makonda, Mnyeti, Jerry Muro, Olesabya, Ally Hapi na Chalamila ni group moja
Hawa washenzy wote wanapaswa kuunganishwa pamoja waminywe pu.mbu wawe na adabu. Hili genge limetumiwa na mwendazake kuwaumiza watanzania wengi sana.
 
Wewe Mnyeti kaa kimya kabla hatujataja madhambi yako. Majitu yenye akili za kikumer kama wewe ni afadhali mngezaliwa kama mbwa, paka au ngedere kuliko kuzaliwa binadamu. Skandali zote hizo walizozifanya hawa umbwa wewe unadiriki kuwatetea? Bastard fool! You will die while sticking index finger in your ass. Usinitafutie ban wewe ngedere pori.
 
Ila makonda si sitena mtumishi wa Umma
Kutokuwa mtumishi wa umma hakumfanyi kusamehewa makosa aliyoyatenda wakati akiwa mtumishi wa umma (according to you).
 
Group hili litakumbukwa kwa kazi yake TUKUFU ya kuwagaragaza CHADEMA
Du akili zako ni za ajabu sana aisee; hutofautiani na akili za mwendazake. Sabaya alipokuwa anafanya uhujumu wake siku zote alisema anabomoa genge la Mbowe na kwa kuwa mwendazake anachukia vyama vya upinzani alimuacha aendelee kupora fedha za wafanyabiashara. Umemsikiliza huyo mfanyabiashara hapo juu pamoja na huyu hapa aliyekimbia nchi kwa sababu ya Sabaya? Hebu msikilize vizuri huyu hapa aliyekimbia nchi kwasababu ya hujuma za Sabaya kisha utaelewa tunachozungumza hapa mkuu👇
 
hawa walikua wanatumiwa na mwendazake kwenye hayo mambo.
kwani hamkumbuki makonda aliwahi kwenda kwenye kituo kimoja cha habari na jeshi la mwenda zake?

alithubutuje kuweza kutumia jeshi maalum kama hajapewa na mwenye nalo?
kwaufupi mwendazake aliwatumia vijana hao kufanya walivyofanya kwa faida za waliowatuma bila ya kujali matokeo yake.

vijana wale walijiona hao ndio hao na hakuna aliethubutu kuwadhibiti.
 
Wewe mama kinakuuma nini? Makonda ni hawara yako hadi umtetee kwa ukali kihivyo? Tuliza 👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…