Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Bro una kipaji cha kuandika kwa lugha flani hivi kama ya Mabala Richard. Unaandika mambo mazito kwa lugha nyepesi na laini sana. Na hii ni shida watu wengi hawataweza kukuelewa.
Ukiona CCM Wanasema kuwa hawahitaji katiba mpya kama una Akili timamu utajua. Wanajua uovu walio ufanya nchini toka Uhuru bandia utolewe kuja kwa Wakoloni weusi na siku uhuru kamili ukipatikana mamaae wananyea debee na wengine kukimbilia kwao huko Bujumbura.
 
Watanzania itakua ndio watu tunaoongoza kwa upole Duniani....

Tukishapiga piga kelele kwenye mitandao masikini imeisha hiyo, tunawait breaking news nyingine, na kizuri zaidi Nchi hii haikauki breaking news.
 
Back
Top Bottom