Ukiona CCM Wanasema kuwa hawahitaji katiba mpya kama una Akili timamu utajua. Wanajua uovu walio ufanya nchini toka Uhuru bandia utolewe kuja kwa Wakoloni weusi na siku uhuru kamili ukipatikana mamaae wananyea debee na wengine kukimbilia kwao huko Bujumbura.Bro una kipaji cha kuandika kwa lugha flani hivi kama ya Mabala Richard. Unaandika mambo mazito kwa lugha nyepesi na laini sana. Na hii ni shida watu wengi hawataweza kukuelewa.
Kwanini nawewe unasema hujacomentHeri mm sijacomment
Siyo kitabu Cha watoto Bali ni kitabu Cha kufundishia kusoma Cha darasa la pili miaka ya 70 huko. Wahusika walikuwa Lusi, Damasi, Rosa na Juma na mbele kule unamkuta Manenge na Mandawa!Hii hadithi ipo kwenye kitabu cha zamani sana cha watoto...
Sikumbuki kinaitwa e!
Kwani ameshauliwa?Jamani si tulishamalizana na sabaya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani ameshauliwa?
Kausha na ww huoni wanajeshi wanapita juu tunakanyagana tenaKwanini nawewe unasema hujacoment
[emoji23][emoji23][emoji23]