Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

We fala acha ushambenga
Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.

Post nyingi sana unawatetea. Makonda hawezi kukwepa mkono wa sheria, labda afe mapema kama Mwendazake
 
Hoja dhaifu na za kitoto.
 
N
Nasubiri kwa hamu litakapotokea Hilo ingawa siamini Kama litatokea...huyo dogo anaweza kuwa na ushahidi dhidi ya wabaya wake...ushahidi Kama majina makubwa ya wauza unga, majangili, na Siri nyingine..
Hawezi kuwa na ushahidi wowote wa wauza ngada. Tume ya kudhibiti madawa ya kulevya ndiyo wana hizo details.

Ile orodha yake ilikuwa ya kubambikiza matajiri wampe fedha baada ya kuwatishia
 
Yuko arusha anaonekana kwa nadra sana,pesa zake za rushwa kajenga ghorofa limesimama kitambo mzigo umekata
 
Hawezi kuwa na ushahidi wowote wa wauza ngada. Tume ya kudhibiti madawa ya kulevya ndiyo wana hizo details.

Ile orodha yake ilikuwa ya kubambikiza matajiri wampe fedha baada ya kuwatishia
Tusubiri ....Kuna msemo was kiingereza unaosema ......."an ace up his sleeve"...politics is a dirty game...wakati sisi tuko mitandaoni na umbeya wetu , watu wako kazini wakipanga mikakati...utakuja kuniambia...huyo dogo mwingine hayuko peke yake..watu watamwaga ugali hapa na kuitikisa nchi..watch out...tehtehteh...
 
Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.

Post nyingi sana unawatetea. Makonda hawezi kukwepa mkono wa sheria, labda afe mapema kama Mwendazake
Pumbavu na fala usiejitambua.
 
Arusha mjini wafanyabiashara wakubwa ni wachaga. Tambua hilo
 
Mimi nalifikiria lile sambwanda litakavyogombewa huko lupango
 
Makosa yote aliyosomewa Sabaya ni ya Mwaka huu 2021, najiuliza ikipekuliwa miaka ya nyuma si itakuwa balaa, angefika 2025 nadhan angeakuwa kishaanza kupakata Wanaume maana wanawake alikuwa kishamaliza
 
Jiwe alisimamia haya yote ya akina Sabaya. makonda alikuwa kipenzi cha Jiwe, hivyo alitenda atrocities nyingi.
nani alimtishia bastola Nape?
Bottomline wa kuwachunguza ni wengi sana
Hapo ndio utashangaa kwa Nape kutojitokeza kutoa ushahidi! Nakuhakikishia Nape hawezi kupata ujasiri huo na badala yake kwa unafiki wake anaweza akamtetea Bashite. Unakumbuka alivyonyata asubuhi yote ile eti kwenda kuomba msamaha kwa baba? CCM ndivyo walivyo.
 


Je hamjambo wanangu hapa jamvini? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa walioshuhudia aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya akiburuzwa mahakamani, kwanza watakubali kuwa apandae hushuka na aliye juu mngoje chini. Nani alijua whizkid kama huyu angedondoshwa kirahisi na kwa aibu hivi? Je vijana mnajifunza nini kuhusiana na dhamana na mamlaka mnapopewa? Pili, amefungua ukurasa mpya kuwa maovu hayalipi hata kama yatalindwa na wakubwa kiasi gani. Tatu, inaonesha utawala wa awamu ya sita unaanza taratibu kuvunja ngome za utawala ulipita. Nne, inaonyesha kuwa kulindana na kuteuana kwa sababu zisizokidhi vigezo ndo mwanzo wa mwisho wake. Sababu ni nyingi tu. Je kukamatwa na kubatizwa kwa moto kwa Sabaya ni mwanzo wa wenzie kama vile Bashite aka Makonda kudondoshwa kikaangoni hasa ikizingatiwa kuwa wana ukwasi ambao hawawezi kuuotelea maelezo yaingiayo akilini? Kwa vile mama amesema huwa anapitia kwenye mitandao, ni maoni gani unatoa ili akipita hapa au watu wake wachukue hatua mujarabu? Naomba kuwasilisha.
 
Huyo Pompeo naye aliwekewa zuio la yeye, wabia wake kwenye biashara, familia yake, marafiki zake, kuingia nchini China, kwa hiyo na yeye alikuwa anacheza ngoma inayojulikana.
 
Si sawa mpaka sasa Makonda kuwa uraiani! Ametuhumiwa na mamlaka yenye nguvu.
Ikiwa kama Sabaya aligushi magari ya UN kufanyia uhalifu, je aliyewekewa vikwazo na US kwa makosa manne ikiwemo la kupoka haki ya kuishi anazururaje mitaani?
 
Aliyofamya sabaya ni cha mtoto kwa huyu shetani.

Nani alimtuma yule jamaa na bastola kwa Nape?

Vip lissu?
 
Bashite angeendelea kwa kasi yake angekuwa kwenye kundi moja na wapiganaji wa ISIS wangetuma drone limteketeze🤣🤸🐒
 
Huko aliko nadhani anajuta, uzuri jinai huwa haifi lazima aje ajibu tu haijalishi itakuwa lini
 
Jinai ni swala la muda tu...Bashite na yule anayejiita Mwanaharakati Huru siku zao zinahesabika uraiani.
 
Sipati picha konda boy huko aliko anavyosali ili kikombe kimuepuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…