... ana gundu sana huyu kiumbe!Wafadhili wake wote huwa wanakufa:
Alianza Samwel Sita
Sasa John Pombe.
Mkuu haki mengine badae, si mlitaka mkandia mama nyie wafuasi wa mwendazake , mlipo ona twamkingia kifua mkaanza eti twajipendekeza ,CHADEMA HAIJAWAI JIPENDEKEZA KWA MTU ,Naona siku hizi wanasaccos wote mmehamia CCM yaani ni raha sana kweli Hayati Magufuli aliposema Saccos itakufa ikifika 2020 yametimia.
BAVICHA siku akili zenu zitakaporudi ndo mtaelewa game inayochezwa .kaeni mjenge chama chenu 2025 sio mbali nyie hangaikeni na Mambo ya Chama tawala .Cha msingi mkuu ,asije toroka chato to Kagera to Mtukula then Unganda KARIBU ila bado akipuyanga mpaka Kanyigo anaweza fika Uganda kirahisi mno KWA njia za panya pitia ziwa Victoria, pale zipo mitumbwi ya ingine ni rahis Sana that's ifikapo maeneo yale mali Kama vitenge nk TOKA Ug rahis Sana pata
Kama alitenda wema atulie,Rais SSH alisema wema wa mtu hufuata popote aendako, so nimetoa angalizo KWA vyombo vyetu vya ulinzi
Tulisha kubaliana Rais wa Jamhuri ya muungano wa tz ni mmoja , ambae anawajibu wa kutenda haki KWA watu wote bila kujali dini,chama, kabila pindi hawapo madarakani,BAVICHA siku akili zenu zitakaporudi ndo mtaelewa game inayochezwa .kaeni mjenge chama chenu 2025 sio mbali nyie hangaikeni na Mambo ya Chama tawala .
Comrade tutakuchangia nauli na wewe ukalie kwenye kaburi la marehemu mzee pombe.Ni jambo jema!
Wewe ushaenda kwenye kaburi la Ndesa bwashee?Comrade tutakuchangia nauli na wewe ukalie kwenye kaburi la marehemu mzee pombe.
Haha comrade nimekukumbusha kifo cha mzee wako Pombe umepandisha jazba.Wewe ushaenda kwenye kaburi la Ndesa bwashee?
Hahahaaaa.....nimekuuliza tu maana mlimroga yule mzee Ndesa aliyetajirika kwa kumdhulumu mkinga mmoja!Haha comrade nimekukumbusha kifo cha mzee wako Pombe umepandisha jazba.
Nitakulipia night mbili guest ya buku kumi pale chato ukalie vizuri kwenye kaburi la mwendazake.Hahahaaaa.....nimekuuliza tu maana mlimroga yule mzee Ndesa aliyetajirika kwa kumdhulumu mkinga mmoja!
Nafikiri sio suala la visasi. Hapa ni suala la jinai alizotenda. Kama ikithibitika kuwa alihusika kwa namna moja au nyingine lazima awajibike. Hana kinga yoyote kisheria ya kuzuia asishughulikiweTungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)
Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.
Visasi havijawai kuleta amani na umoja.
Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
Hata Tundu Lisu ameomba kwenda kaburini Chato.....hahahaaaa!Nitakulipia night mbili guest ya buku kumi pale chato ukalie vizuri kwenye kaburi la mwendazake.
Angewalilia na Aliwateka na kuwaua Makonda mnafiki sanaLeo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Maigizo tena😆🤣🤣🤣Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Hapo sio rahisi nachoamini huyu jamaa atateseka na kuweweseka kwa aliyoyafanya na wala hatafurahia Mali ya utapeli aliyoipora kwa taifa hili,majivuno,kiburi,yote ni mizizi ya dhambi arudishe tuu ndio atakua free lasivyo yumo gerezani kama wafungwa wengineKitu kiingine ni Mama kutamka bayana kua ndiye aliyemtabiria kua Makamu wa Rais, Je, Mama anaweza kumuundia Kamati ya kumchunguza Makonda? Mama anaweza kuweka maslahi ya kitaifa mbele kuliko kuangalia uso wa mtu?
Makongda ni muuaji! ni drama tuNi Mtanzania kumbuka, ni kama ilivyo kwako, Kwa nini unadhani asifanye hivyo!!