Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Siyo Songea tu na Tanga, hata Simiyu, Dodoma na Morogoro.

Everyday is Saturday................................😎
 
Tatizo wengi humu tunasikia kuwa alifanya hivi ila kudhibitisha NI shida na humu wapo waliotoa hukumu tayari Kama vile mwamba tuache mahakama ihukumu kwa haki sio mitandao ya kijamii
 
Watanzania tumefikia hatua mbaya sana. Kuishi maisha ya kufuata mkumbo na kuchafuana bila sababu

Kama Diamond au mtu yoyote alishiriki jinai ambayo ilisababisha watu kupigwa, kuteswa au kushambuliwa kwa risasi basi afunguliwe mashitaka kuliko kuleta majungu ya kumwagia vitumbua mchanga.

Sheria inayozuia jinai nchini kifungu cha 22(1) (c) ipo wazi kabisa kushiriki kufanya jinai ni kosa na mtu unashitakiwa kama yule aliyetenda kosa.

Hivyo kama kuna mtu alishiriki bora wanahakati mkamshitaki kuliko kuleta majungu yasiyo na tija yoyote.
 
Kwani selo kunawatu wanaingia na mobile phone sikuiz😳😳😳
 
Ndiyo wamekutuma uje kuwaletea mitandaoni? Kama utetezi wenyewe ndiyo huo bora ukae kimya kwani badala ya kuwatetea unazidi kuwadhalilisha zaidi
 
Tulieni tuli , tulionya mapema kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu mkabisha .
 
Ndiyo wamekutuma uje kuwaletea mitandaoni? Kama utetezi wenyewe ndiyo huo bora ukae kimya kwani badala ya kuwatetea unazidi kuwadhalilisha zaidi
Tokea lini ulishakua na akili timamu?
 
Chadema wanaingiaje sasa hapa? Ndio waliomkamata? Chadema ndio PCCB? Ndio waendesha mashtaka? Wana gereza? Acheni upuuzi, mkavamie watu huko then msingizie Chadema?
 
Kama chama changu ' Shabikia ' kina Mwanachama wa ' hovyo hovyo ' kama Wewe ( na yawezekana mkawa mpo wengi tu ) nadhani sasa ni wakati ' Muafaka ' kwa Mimi GENTAMYCINE kwenda Butiama ' Uzanakini ' katika Kaburi la Babu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere nikamuambie naachana rasmi ' Kukishabikia ' chama chake cha CCM na nabaki tu kuwa Mtanzania Huru ( Neutral ) hasa Kiitikadi ya Siasa.

CCM ya Nyerere niliyoijua vyema na iliyonilea pia haikuwahi kuwa na ' Intarahamwe ' kama akina Sabaya, Makonda, Mnyeti bila kumsahau hata na Magufuli Mwenyewe.

Ukiona Mtanzania yoyote ( na hasa akiwa ni mwana CCM ) anamtetea Sabaya na Makonda jua Kichwani mwake kumejaa sana Maji Machafu ya Chooni yenye ' Mseto ' wa Kinyesi cha Uharo na Funza wengi sana.

Kuna Mambo huwa yananikera mno tu.
 
Sasa hivi mnavyoitaja chadema kwenye sakata lq Sabaya hamuoni kinyaa? Chadema imehusikaje hapa au mna maana mama Samia ni chadema?
MIKAKATI yote ya mashahidi wa UONGO imefanyika kwa nguvu na uratibu wa CHADEMA.
Tunajua Cuthbert Swai ametumia nguvu kubwa.

Mwingine tayari kaandika uzi humu akitubu ukweli wa sakata la Sabaya kutumika kisiasa.

Kama CHADEMA mnadiriki kuratibu ujinga ili tu mumkomowe Diamond Platinums kwenye Tuzo za muziki.kisa aliisapoti CCM!

Mnashindwaje kula njama ili kumkomoa aliemuondoa ubunge mwenyekiti makengeza?
 
Hizo jazba zako pia ni UHARO!
Tuiache mahakama ifanye kazi yake.
Tunajua mmejaa sumu kila mnapomuona mwenyekiti akizurula huku bunge likiendelea!
 
Hizo jazba zako pia ni UHARO!
Tuiache mahakama ifanye kazi yake.
Tunajua mmejaa sumu kila mnapomuona mwenyekiti akizurula huku bunge likiendelea!
Mkuu kaa mbali nami usije iacha Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…