Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Siyo Songea tu na Tanga, hata Simiyu, Dodoma na Morogoro.Ushindi kwa gharama za kuua au?
Angemuua Baba au Mama yako ili CCM ishinde ungepata akili
Kuna watu wapumbavu sana Yeye yakimkuta ndio anakuja hapa JF kuomba msaada oooh NSSF hawatoi pesa mara Mahakama inaonea
Muda huu umeshiba makande na Tumbaku Unaanza kuropoka ropoka hapa kama Panya aliyebanwa na Paka
Ushindi wa CCM unahusiana vipi na kupora watu pesa
Huko Songea na Tanga si CCM inashinda kila siku tangu uhuru
Mbona hatukusikia kawawa ameteka watu au Nchimbi anatumia silaha kupora Mali
Yeye kilichomtuma kupora Mali na kutembea na mabunduki ni CCM?
Acha kuchafua chama wewe, CCM imejengwa kwa miaka mingi
Everyday is Saturday................................😎